Mungu fundi kuna visichana vina sura nzuri jamani

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wakuu

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Aisee kwa kweli Mungu ni fundi mazee kuna watu wana sura tamu sana mazee

Unaweza hata kulala miaka yote ukiwa unamuwaza yeye endapo utabahatika kuwaona

Kuna msichana leo nimekutana naye aisee kaniacha hoi sana sema tu nilikuwa kwenye gar alteza afu kwenye jam hivyo sikupata mda wa kupak na kumfatilia

Acha tu aisee
17781729d023a5c8050edb3ce8042b45.jpeg
 
Aman iwe nanyi wakuu

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Aisee kwa kweli Mungu ni fundi mazee kuna watu wana sura tamu sana mazee

Unaweza hata kulala miaka yote ukiwa unamuwaza yeye endapo utabahatika kuwaona

Kuna msichana leo nimekutana naye aisee kaniacha hoi sana sema tu nilikuwa kwenye gar alteza afu kwenye jam hivyo sikupata mda wa kupak na kumfatilia

Acha tu aiseeView attachment 669319
Chai hii afu hata sio tamu imekuwa chai kahawa.

MTU umeone tu kwenye jam,tena Upo garini lakini ukampiga picha matata namuna hii,hapana hakuna kitu kama hii.
 
Back
Top Bottom