Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Nimuamin Nan Hapa SasaHuyo ni dogo langu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimuamin Nan Hapa SasaHuyo ni dogo langu sana
mbn manzii wa kawaida sanaAman iwe nanyi wakuu
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Aisee kwa kweli Mungu ni fundi mazee kuna watu wana sura tamu sana mazee
Unaweza hata kulala miaka yote ukiwa unamuwaza yeye endapo utabahatika kuwaona
Kuna msichana leo nimekutana naye aisee kaniacha hoi sana sema tu nilikuwa kwenye gar alteza afu kwenye jam hivyo sikupata mda wa kupak na kumfatilia
Acha tu aiseeView attachment 669319