Hahaha hizi tabia za kukatiana stimu kwenye threads sio poa kabisa.Mbona unafanana nae mkuu?
Sawa mkuu nimejua unagari shukrani
Chai hii afu hata sio tamu imekuwa chai kahawa.Aman iwe nanyi wakuu
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Aisee kwa kweli Mungu ni fundi mazee kuna watu wana sura tamu sana mazee
Unaweza hata kulala miaka yote ukiwa unamuwaza yeye endapo utabahatika kuwaona
Kuna msichana leo nimekutana naye aisee kaniacha hoi sana sema tu nilikuwa kwenye gar alteza afu kwenye jam hivyo sikupata mda wa kupak na kumfatilia
Acha tu aiseeView attachment 669319
Kapake na wewe hizo mekaaapuu uone kama utamfikia.... UZURI NAO UNACHANGIAkazi ya make-up hiyo
Kuwa na gari ndo kuyajenga maisha [emoji23][emoji23]Mkuu sisi maisha tushaga yajenga kitambo sana
Hakuna kituKuna nini tu mkuu