Mungu hakupi unachotaka

Unapewa unacho stahili
 
Kwahiyo wale watoto wanao zaliwa na shida zitakazo gharimu maisha ya mateso ndio stahili yao?
Kumtetea huyo Mungu ni kazi sana
Utazungushwa na majibu yaliyo kwenye same cycle mpaka uchoke
Hapo jibu litakuja "anafanya atakalo yeye"
 
Huyo Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.

Hakuna Mungu anayetoa chochote kwa binadamu.

Mungu ni fiction character.

Hayupo katika uhalisia ila katika mawazo ya kufikirika tu, Imaginations just an illusion.
Sijui umeshiba maharage ya wapi!
 
Nakwambia hivi huyo Mungu hayupo.

Anashindwa kuwapa hata hayo maharage watoto wadogo wanaokufa kwa njaa maeneo mbalimbali duniani halafu aje anishibishe mimi?
Ndo shida ya sisi wanadamu matokeo mabaya ya matendo yetu tunatafuta pakutupia lawama ulitaka chakula kishuke kutoka mbinguni hizo akili na utashi uliopewa nizakazi gani sasa
 
Hakuna mtu alie pangiwa chochote kwenye maisha , maumuzi yako na mipango yako bahati , na mazingira ndio yataamua hali yako ya maisha
 
Ndo shida ya sisi wanadamu matokeo mabaya ya matendo yetu tunatafuta pakutupia lawama ulitaka chakula kishuke kutoka mbinguni hizo akili na utashi uliopewa nizakazi gani sasa
Kwanza hiyo mbingu haipo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.

Nakwambia hivi 👇

Sijapewa akili na huyo Mungu.

Huyo Mungu anaye toa akili hayupo.
 
Kwanza hiyo mbingu haipo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.

Nakwambia hivi 👇

Sijapewa akili na huyo Mungu.

Huyo Mungu anaye toa akili hayupo.
Sawa nakutakia mwisho mwema sina lazaidi
 
Kama Mungu hakupi unachotaka, huo ni uchoyo.

Mungu muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote hawezi kuwa mchoyo kiasi cha kushindwa kuwapa watu wanachokitaka.

That is a contradiction.

Mungu huyo hayupo katika uhalisia.
 
Uhalali wa kutumia biblia unaletwa na nini? Yaani unapomwambia mtu soma kifungu flani ina akisi katika mambo yote?
 
Nimependa namna ulivyotoa ufafanuzi wa kisayansi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…