MUNGU IBARIKI TIMU YA TAIFA YA LESHOTO!

MUNGU IBARIKI TIMU YA TAIFA YA LESHOTO!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
7,828
Reaction score
10,527
Kwa jina la Mwenye enzi Mungu,mtoa Neema kubwa na Ndogo ..naomba uibariki Timu ya Taifa la Leshoto itakapopa mbana na Cape Verde ! Kwa kufanya hivyo utakuwa umeisaidia nchi moja ya Afrika Mashariki. Nchi hii imejaa dhuluma,unafiki na uzandiki! Wale wanadhulumu roho na mioyo ya watu ndio wenye dhamana ya uongozi.Hutumia ujinga wa wengi kujikweza.
Hawa ndio waoingiza serikali hasara ya kurudia uchaguzi kwa lengo tu la kuua mawazo mbadala! huku baadhi ya maeneo walalahoi wakitembea Km 15 kwenda kupima Malaria,na Wengine hawana maji!
Kama maneno ya Zaburi 119 yanavyosema ..Haki huinua Taifa! Naomba hili litendeke kwa kupitia Timu ya Taifa ya Soka ya Lethoto! AMEN!
 
Back
Top Bottom