stickvibration
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 3,226
- 5,147
Kila nikiona CITIZEN CHANNEL roho inaniuma wanavyouana wa KENYA.Nyumba kuchomwa moto watu kuuwana soko linaunguzwa
HALAF TUNAWASIFIA KUA WANA DEMOKRASIA YA UHAKIKA
nikisema saana ntaitwa wa lumumba wakt huko Lumumba sijawah hata kufika tangu nizaliwe
Wakuu tuachane na ushabiki vita ni vitu vibaya na vyakuogopwa saana,,
Hawa majirani zetu walisifiwa na nusu ya dunia kua wanademokrasia ya ukweli leo wanauwana hao wabepari waliokua wanawasifia wako wapi????
Hapa NTAMSAPOTI BABA JESKA HADI KUFA
BORA TUHANGAIKE TU NA MAISHA..kuliko mlio wa RISASI
Mkuu umesema risasi nikamkumbuka Lissu. Sasa mkuu unamsupport Baba Jesca na huku viashiria ni hivyohivyo vya huk Kenya?
Dawa ya amani ni rais Uhuru kukubali kuwa rais wa kwanza Kenya kuongoza nchi kwa term 1. [HASHTAG]#sad[/HASHTAG]
Kina Lowassa walioenda kuchochea machafuko,wamerudi wapo kimyaaa huko watu wanauana
Mkuu umesema risasi nikamkumbuka Lissu. Sasa mkuu unamsupport Baba Jesca na huku viashiria ni hivyohivyo vya huk Kenya?
Si umesema haupo lumumba? Hlf unamaliza kwa kusema unamsupport baba jeska, unawezaje kumtofautisha baba jeska na lumumba wakati yeye ndo mwenyekiti? Kubali we ni lumumba damu mkuu, usiogope kuonyesha msimamo wako.Kila nikiona CITIZEN CHANNEL roho inaniuma wanavyouana wa KENYA.Nyumba kuchomwa moto watu kuuwana soko linaunguzwa
HALAF TUNAWASIFIA KUA WANA DEMOKRASIA YA UHAKIKA
nikisema saana ntaitwa wa lumumba wakt huko Lumumba sijawah hata kufika tangu nizaliwe
Wakuu tuachane na ushabiki vita ni vitu vibaya na vyakuogopwa saana,,
Hawa majirani zetu walisifiwa na nusu ya dunia kua wanademokrasia ya ukweli leo wanauwana hao wabepari waliokua wanawasifia wako wapi????
Hapa NTAMSAPOTI BABA JESKA HADI KUFA
BORA TUHANGAIKE TU NA MAISHA..kuliko mlio wa RISASI
Sawa, wakati wakenya wakifanyiana hayo wewe endelea kukomaa na jpm wako ili viroba vya maiti vipatikane kwa wingi ufukweni, upotevu wa watu uendeleeKila nikiona CITIZEN CHANNEL roho inaniuma wanavyouana wa KENYA.Nyumba kuchomwa moto watu kuuwana soko linaunguzwa
HALAF TUNAWASIFIA KUA WANA DEMOKRASIA YA UHAKIKA
nikisema saana ntaitwa wa lumumba wakt huko Lumumba sijawah hata kufika tangu nizaliwe
Wakuu tuachane na ushabiki vita ni vitu vibaya na vyakuogopwa saana,,
Hawa majirani zetu walisifiwa na nusu ya dunia kua wanademokrasia ya ukweli leo wanauwana hao wabepari waliokua wanawasifia wako wapi????
Hapa NTAMSAPOTI BABA JESKA HADI KUFA
BORA TUHANGAIKE TU NA MAISHA..kuliko mlio wa RISASI
Mwaze na LOWASA basi!!!!kua namaumivu pande zooote
Kenya kumenuka au hutembei na dunia mkuu???
Kuna tatizo ganiWewe ni wa lumumba tu na utabaki kuwa wa lumumba tu
Kwa hiyo tusubirie huo muda sio, maana muda huu hakuna.Nianze na Lowassa kwenye nini, sijawahi kimshabikia; simshabikii na wala sintokaa nimshabikie. Nakuambia hayo unayojifanya yanakusikitisha huko Kenya hata hapa ni suala la muda tu.
Si umesema haupo lumumba? Hlf unamaliza kwa kusema unamsupport baba jeska, unawezaje kumtofautisha baba jeska na lumumba wakati yeye ndo mwenyekiti? Kubali we ni lumumba damu mkuu, usiogope kuonyesha msimamo wako.