stickvibration
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 3,226
- 5,147
Kila nikiona CITIZEN CHANNEL roho inaniuma wanavyouana wa KENYA. Nyumba kuchomwa moto watu kuuwana soko linaunguzwa halafu tunawasifia kua wana demokrasia ya uhakika
Nikisema saana ntaitwa wa lumumba wakt huko Lumumba sijawah hata kufika tangu nizaliwe
Wakuu tuachane na ushabiki vita ni vitu vibaya na vya kuogopwa saana,,
Hawa majirani zetu walisifiwa na nusu ya dunia kua wanademokrasia ya ukweli leo wanauwana hao wabepari waliokua wanawasifia wako wapi?
BORA TUHANGAIKE TU NA MAISHA..kuliko mlio wa RISASI