Travis Walker
JF-Expert Member
- Apr 10, 2017
- 323
- 334
- Thread starter
-
- #61
Kwani unapomwambia mtu nakupenda kutoka moyoni maanake ni kusukuma damuKwanini unaandika hivyo? Kitu gani kilichokufanya useme hivyo?
Moyo kazi yake kusukuma damu, unahusikaje na kuniruhusu kutafuta ukweli?
Una maoni gani kuhusu uwepo wa universe mkuuUnajua ukifikiri hivyo,kwamba kila complexity ni lazimaiwe na muumbaji, utajifunga kwa sheria yako mwenyewe urudi kukubaliana nami kwamba Mungu hayupo.
Kwa ajili ya kuzungumzakiuchunguzi tukubalikwamba hakuna kilicho complex ambachokinaweza kutokea bilakuumbwa na kingine.
Naturally, kinachoumba kitakuwa complex zaidi, kwa hivyo nachokitakuwa complex.
Na kwa sababu hakuna kilicho complex ambacho hakijaumbwa, nacho kitahitaji muumbaji.
Utarudi hivyo hivyo, ad absurdia, ad nausea, utakuta ukiifuata sheria hiyo, Mungu hawezi kuwepo.
Kwa sababu na yeye atakuwa complex na atahitaji muumbaji na muumbaji atahitajimuumbaji bila mwisho.
Unaona udhaifu wa kanuni yako sasa?
Unaona inavyotupeleka kuona Mungu hawezi kuwepo?
Hizo ni lugha za ushairi, mimi nishakwambia nataka kweli.Kwani unapomwambia mtu nakupenda kutoka moyoni maanake ni kusukuma damu
Watu tumefika mbali sana kuweza kuujua ulimwengu ulivyo leo.Una maoni gani kuhusu uwepo wa universe mkuu
Mungu yupo kiongozi. Ila siyo huyu tuliyelishwa na wazungu na waarabu ili watuteke na kututawala kimawazo
Naamini kabisa yupo aliyeumba hivi vyote vilivyomo humu duniani na kwingineko. Hebu fikiri vitu kama mpangilio wa nyota na vingine vingi lazima kuna aliyeviratibu vyote hivi.
Hata zamani mababu na bibi zetu walimuabudu huyo Mungu muumba kabla hata ya wageni kutuletea hizi dini zao, kwa hiyo hapa unaona kabisa yupo aliye juu ya vyote hivi
Nimeikubali sana hii komenti. Lakini kwa kuwa hatuna namna ya kujibu maswali haya magumu basi hatuna budi kukubaliana kwamba hivi vitu havijazuka tu bali vimeratibiwaWatu tumefika mbali sana kuweza kuujua ulimwengu ulivyo leo.
Lakini tuyajuayo ni machache sana na tusiyoyajua ni mengi.
Kwa hiyo inatubidi tujitahidi kujua zaidi.
Na si kurahisisha majibu tu kwamba "Mungu aliumba".
Wakati huyo Mungu ukimuweka katikamizani ya "logical consistency" anaonekana hawezekaniki kuwapo.
Maoni yangu ni kufanya kazi ku test vitu zaidi,test String Theory, test if Heinserberg's Uncertainty Principle can be circumvented, test what causes quantum entanglement and spooky action at a distance, find out ways to populate other planets and galaxies, find out new knowledge and quit just saying God is there and he will take care of things.
Hivi quran iliandikwa na nani, lini na alimwandikia nani kiongozi?Maneno yako yanasibitishwa na 2:255 Qur'an.
"Mwenyezi Mungu - hapana mungu ila Yeye, Aliye hai, Msimamia mambo yote milele. Hashikwi na usingizi wala kulala. Ni vyake pekee vyote viliomo mbinguni na duniani. Ni nani huyo awezaye kuombea mbele yake bila ya idhini yake? Anayajua yaliyo mbele yao na yaliyo nyuma yao; wala wao hawajui chochote katika vilio katika ujuzi wake, ila kwa atakalo mwenyewe. Enzi yake imetanda mbinguni na duniani; na wala haemewi na kuvilinda hivyo. Na Yeye ndiye aliye juu, na ndiye Mkuu."
2:255 Qur'ani Albakara
Na kati ya mzungu na mwaarabu nani alianza kumlisha mwezie matango?Wazungu na warabu wametulisha matango matamu sana
Usahihi wa wazee wetu ni upi katika kumuabu Mungu? au kwa sababu tu ni wazee wetu?Mungu yupo kiongozi. Ila siyo huyu tuliyelishwa na wazungu na waarabu ili watuteke na kututawala kimawazo
Naamini kabisa yupo aliyeumba hivi vyote vilivyomo humu duniani na kwingineko. Hebu fikiri vitu kama mpangilio wa nyota na vingine vingi lazima kuna aliyeviratibu vyote hivi.
Hata zamani mababu na bibi zetu walimuabudu huyo Mungu muumba kabla hata ya wageni kutuletea hizi dini zao, kwa hiyo hapa unaona kabisa yupo aliye juu ya vyote hivi
Kuratibiwa maana yake nini?Nimeikubali sana hii komenti. Lakini kwa kuwa hatuna namna ya kujibu maswali haya magumu basi hatuna budi kukubaliana kwamba hivi vitu havijazuka tu bali vimeratibiwa
Ushasema hakuna mungu,sasa je,msimamo wako ni upi baada ya kutokuwepo mungu ama ukweli ni upi?Msimamo juu ya nini?
Mimi daima natafuta ukweli.
Sikubaliani na wewe hapa. Huwezi kufanya hitimisho kwa a such very simple reasoningKuratibiwa maana yake nini?
It is possible for complexity to arise from simplicity, computer algorithms and mathematical facts show that.
In fact, perfect equilibrium is always attached to nothingness.
So, if there is a perfect God, that God must be nothingness, because that is the epitome of perfection.
Anything that deviates from nothingness, deviates from perfection.
That is another way of saying and showing God does not exist.
Because he is too perfect to exist.
We are lucky to be imperfect.
Our imperfection is what allow us to exist.
For more see "Why Does The World Exist?" by Jim Holt
An even more interesting book is "A Universe from Nothing" by Lawrence M. Krauss
I enjoyed both immensely, the later more so.
Sio kila siku Quran na Biblia tu.
Qur'ani ni maneno ya Allah ambae ndio mungu muumba.Qur'ani alifundishwa nabii wa mwisho ambaye ni muhammad.Hivi quran iliandikwa na nani, lini na alimwandikia nani kiongozi?
Mwaka 1021 mbona juzi sana mkuuKwani hata sayansi ilianza kuandikwa na muislamu wa kiarabu anaeitwa Ibn-Alhaitham mwaka 1021. Ukitaka kujua mengi kuhusu hili ingia google halafu andika kitabu chake kiitwacho:" Book of Optics"