Mungu katengenezwa na nani?

Mungu katengenezwa na nani?

Kwanini unaandika hivyo? Kitu gani kilichokufanya useme hivyo?

Moyo kazi yake kusukuma damu, unahusikaje na kuniruhusu kutafuta ukweli?
Kwani unapomwambia mtu nakupenda kutoka moyoni maanake ni kusukuma damu
 
Unajua ukifikiri hivyo,kwamba kila complexity ni lazimaiwe na muumbaji, utajifunga kwa sheria yako mwenyewe urudi kukubaliana nami kwamba Mungu hayupo.

Kwa ajili ya kuzungumzakiuchunguzi tukubalikwamba hakuna kilicho complex ambachokinaweza kutokea bilakuumbwa na kingine.

Naturally, kinachoumba kitakuwa complex zaidi, kwa hivyo nachokitakuwa complex.

Na kwa sababu hakuna kilicho complex ambacho hakijaumbwa, nacho kitahitaji muumbaji.

Utarudi hivyo hivyo, ad absurdia, ad nausea, utakuta ukiifuata sheria hiyo, Mungu hawezi kuwepo.

Kwa sababu na yeye atakuwa complex na atahitaji muumbaji na muumbaji atahitajimuumbaji bila mwisho.

Unaona udhaifu wa kanuni yako sasa?

Unaona inavyotupeleka kuona Mungu hawezi kuwepo?
Una maoni gani kuhusu uwepo wa universe mkuu
 
Una maoni gani kuhusu uwepo wa universe mkuu
Watu tumefika mbali sana kuweza kuujua ulimwengu ulivyo leo.

Lakini tuyajuayo ni machache sana na tusiyoyajua ni mengi.

Kwa hiyo inatubidi tujitahidi kujua zaidi.

Na si kurahisisha majibu tu kwamba "Mungu aliumba".

Wakati huyo Mungu ukimuweka katikamizani ya "logical consistency" anaonekana hawezekaniki kuwapo.

Maoni yangu ni kufanya kazi ku test vitu zaidi,test String Theory, test if Heinserberg's Uncertainty Principle can be circumvented, test what causes quantum entanglement and spooky action at a distance, find out ways to populate other planets and galaxies, find out new knowledge and quit just saying God is there and he will take care of things.
 
Mungu yupo kiongozi. Ila siyo huyu tuliyelishwa na wazungu na waarabu ili watuteke na kututawala kimawazo
Naamini kabisa yupo aliyeumba hivi vyote vilivyomo humu duniani na kwingineko. Hebu fikiri vitu kama mpangilio wa nyota na vingine vingi lazima kuna aliyeviratibu vyote hivi.
Hata zamani mababu na bibi zetu walimuabudu huyo Mungu muumba kabla hata ya wageni kutuletea hizi dini zao, kwa hiyo hapa unaona kabisa yupo aliye juu ya vyote hivi

Maneno yako yanasibitishwa na 2:255 Qur'an.
"Mwenyezi Mungu - hapana mungu ila Yeye, Aliye hai, Msimamia mambo yote milele. Hashikwi na usingizi wala kulala. Ni vyake pekee vyote viliomo mbinguni na duniani. Ni nani huyo awezaye kuombea mbele yake bila ya idhini yake? Anayajua yaliyo mbele yao na yaliyo nyuma yao; wala wao hawajui chochote katika vilio katika ujuzi wake, ila kwa atakalo mwenyewe. Enzi yake imetanda mbinguni na duniani; na wala haemewi na kuvilinda hivyo. Na Yeye ndiye aliye juu, na ndiye Mkuu."
2:255 Qur'ani Albakara
 
Mungu Yupo, Yeye ni Mwanzo na Mwisho Binadamu hajafikia ufahamu wa Kujua Chimbuko la Mungu,Tuko so limited ndio mana unaona Challenge ndogo ndogo zinatusumbua mfano maradhi, Vifo,uzee hayo tu hatuyapatia majawabu Sembuse muumbaji wetu? Kuna kitu kinaitwa Natural hicho ndio Mungu mwenyewe Mzungu anapokumbia Gravity iko pulled toward the earth center na akasema that's natural anamaanisha Kuwa hio natural amekosa kuielewa ni nini Anaogopa kusema ni Mungu kukwepa maswali, Dini zinatupotosha sana ,Dini ni sanaa ya mwanadamu wala hazina Uhusiano na Uwepo Wa Mungu, Mungu Yupo. naweza kuwa sijaeleza sana juu ya mada ila ndio hayo machache niliosema
 
Watu tumefika mbali sana kuweza kuujua ulimwengu ulivyo leo.

Lakini tuyajuayo ni machache sana na tusiyoyajua ni mengi.

Kwa hiyo inatubidi tujitahidi kujua zaidi.

Na si kurahisisha majibu tu kwamba "Mungu aliumba".

Wakati huyo Mungu ukimuweka katikamizani ya "logical consistency" anaonekana hawezekaniki kuwapo.

Maoni yangu ni kufanya kazi ku test vitu zaidi,test String Theory, test if Heinserberg's Uncertainty Principle can be circumvented, test what causes quantum entanglement and spooky action at a distance, find out ways to populate other planets and galaxies, find out new knowledge and quit just saying God is there and he will take care of things.
Nimeikubali sana hii komenti. Lakini kwa kuwa hatuna namna ya kujibu maswali haya magumu basi hatuna budi kukubaliana kwamba hivi vitu havijazuka tu bali vimeratibiwa
 
Maneno yako yanasibitishwa na 2:255 Qur'an.
"Mwenyezi Mungu - hapana mungu ila Yeye, Aliye hai, Msimamia mambo yote milele. Hashikwi na usingizi wala kulala. Ni vyake pekee vyote viliomo mbinguni na duniani. Ni nani huyo awezaye kuombea mbele yake bila ya idhini yake? Anayajua yaliyo mbele yao na yaliyo nyuma yao; wala wao hawajui chochote katika vilio katika ujuzi wake, ila kwa atakalo mwenyewe. Enzi yake imetanda mbinguni na duniani; na wala haemewi na kuvilinda hivyo. Na Yeye ndiye aliye juu, na ndiye Mkuu."
2:255 Qur'ani Albakara
Hivi quran iliandikwa na nani, lini na alimwandikia nani kiongozi?
 
Wazungu na warabu wametulisha matango matamu sana
Na kati ya mzungu na mwaarabu nani alianza kumlisha mwezie matango?
maana wao wametulisha sie je wao wamelishwa na nani?
 
Mungu yupo kiongozi. Ila siyo huyu tuliyelishwa na wazungu na waarabu ili watuteke na kututawala kimawazo
Naamini kabisa yupo aliyeumba hivi vyote vilivyomo humu duniani na kwingineko. Hebu fikiri vitu kama mpangilio wa nyota na vingine vingi lazima kuna aliyeviratibu vyote hivi.
Hata zamani mababu na bibi zetu walimuabudu huyo Mungu muumba kabla hata ya wageni kutuletea hizi dini zao, kwa hiyo hapa unaona kabisa yupo aliye juu ya vyote hivi
Usahihi wa wazee wetu ni upi katika kumuabu Mungu? au kwa sababu tu ni wazee wetu?
 
Nimeikubali sana hii komenti. Lakini kwa kuwa hatuna namna ya kujibu maswali haya magumu basi hatuna budi kukubaliana kwamba hivi vitu havijazuka tu bali vimeratibiwa
Kuratibiwa maana yake nini?

It is possible for complexity to arise from simplicity, computer algorithms and mathematical facts show that.

In fact, perfect equilibrium is always attached to nothingness.

So, if there is a perfect God, that God must be nothingness, because that is the epitome of perfection.

Anything that deviates from nothingness, deviates from perfection.

That is another way of saying and showing God does not exist.

Because he is too perfect to exist.

We are lucky to be imperfect.

Our imperfection is what allow us to exist.

For more see "Why Does The World Exist?" by Jim Holt

An even more interesting book is "A Universe from Nothing" by Lawrence M. Krauss

I enjoyed both immensely, the later more so.

Sio kila siku Quran na Biblia tu.

51BjAc2STiL._SX332_BO1,204,203,200_.jpg

220px-AUFN_LawrenceKrauss.jpeg
 
Msimamo juu ya nini?

Mimi daima natafuta ukweli.
Ushasema hakuna mungu,sasa je,msimamo wako ni upi baada ya kutokuwepo mungu ama ukweli ni upi?

Ukweli siku zote huwa upo tu,sasa tukisema kwamba wazo la kuwa kuna mungu linapotosha ukweli..ndipo napouliza ukweli ni upi ambao unapotoshwa na wenye kusema kuna mungu?

Maana kusema tu hakuna mungu haitoshi.
 
Kuratibiwa maana yake nini?

It is possible for complexity to arise from simplicity, computer algorithms and mathematical facts show that.

In fact, perfect equilibrium is always attached to nothingness.

So, if there is a perfect God, that God must be nothingness, because that is the epitome of perfection.

Anything that deviates from nothingness, deviates from perfection.

That is another way of saying and showing God does not exist.

Because he is too perfect to exist.

We are lucky to be imperfect.

Our imperfection is what allow us to exist.

For more see "Why Does The World Exist?" by Jim Holt

An even more interesting book is "A Universe from Nothing" by Lawrence M. Krauss

I enjoyed both immensely, the later more so.

Sio kila siku Quran na Biblia tu.

51BjAc2STiL._SX332_BO1,204,203,200_.jpg

220px-AUFN_LawrenceKrauss.jpeg
Sikubaliani na wewe hapa. Huwezi kufanya hitimisho kwa a such very simple reasoning
 
Hivi quran iliandikwa na nani, lini na alimwandikia nani kiongozi?
Qur'ani ni maneno ya Allah ambae ndio mungu muumba.Qur'ani alifundishwa nabii wa mwisho ambaye ni muhammad.
Muhammad alikuwa ni mtume kutoka katika bara la waarabu.Muhammad yeye hakuwa mwenye kujua kusoma wala kuandika.
Hivyo tunajuwa wazi kwamba mitume wote hupokea ufunuo kupitia malaika.Hivyo huyu Mtume Muhammad alisomewa Qur'ani na malaika Gabrel nae akawa anahifadhi.Baada ya hapo wale waliomuamini kuwa muhammad ni mtume basi wao wakawa wanahifadhi pia maneno haya ya Qur'ani.Ambapo katika hiyo kur'ani ndiyo kuna dalili za muumba na mfumo mzima wa maisha ya mwanaadamu.Hivyo kwasababu Muhammad( peace be upon him) ni mtu kufa kwake ni lazima. Baada ya kufa Mtume Muhammad Ndio waumini wakiislamu wakasema hakika nasi tutakufa hivyo basi tuaandike haya maeno katika sehemu ili tukifa wengine wajao watayakuta.Basi wakawa wanayaandika kwa lugha ya kiarabu.Kinachotufanya waislamu tuamini Qur'ani ni kwamba vitabu hivyo vya kale mpaka leo vipo na hakujapungua kitu katika vitabu hivyo na misahafu ya sasa.
 
“Na Mungu wenu ni Mungu mmoja tu, hapana mungu ila Yeye. Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu. Hakika katika kuumbwa kwa mbingu na ardhi, na kukhitalifiana usiku na mchana, na marikebu ambazo hupita baharini kwa viwafaavyo watu, na maji anayo yateremsha Mwenyezi Mungu kutoka mbinguni, na kwa hayo akaihuisha ardhi baada ya kufa kwake, na akaeneza humo kila aina ya wanyama; na katika mabadiliko ya pepo, na mawingu yanayo amrishwa kupita baina ya mbingu na ardhi, bila shaka zimo Ishara kwa watu wanao zingatia. ”

2:163-164
Qur'ani.
 
“Ametukuka aliye teremsha Furqani kwa mja wake, ili awe mwonyaji kwa walimwengu wote. Ambaye ni wake ufalme wa mbingu na ardhi, wala hakuwa na mwana, wala hakuwa na mshirika katika ufalme, na akaumba kila kitu na akakikadiria kwa kipimo. Na wamechukua badala yake miungu ambayo haiumbi chochote, bali hiyo inaumbwa, haijimilikii nafsi zao madhara wala manufaa, wala haimiliki mauti, wala uhai, wala kufufuka.”

25:1-3 Qurani
 
“Au wao wameumbwa pasipo kutokana na kitu chochote, au ni wao ndio waumbaji? Au wao wameziumba mbingu na ardhi? Bali hawana na yakini . ”

52:35-36 Qur'ani
 
Kwani hata sayansi ilianza kuandikwa na muislamu wa kiarabu anaeitwa Ibn-Alhaitham mwaka 1021. Ukitaka kujua mengi kuhusu hili ingia google halafu andika kitabu chake kiitwacho:" Book of Optics"
 
Kwani hata sayansi ilianza kuandikwa na muislamu wa kiarabu anaeitwa Ibn-Alhaitham mwaka 1021. Ukitaka kujua mengi kuhusu hili ingia google halafu andika kitabu chake kiitwacho:" Book of Optics"
Mwaka 1021 mbona juzi sana mkuu
 
Back
Top Bottom