Mungu katengenezwa na nani?


Kwa jina la Allah.
Kwanza lazima tujue kwa nini dunia imeumbwa.
"(Huyo Mungu) ndiye yeye ambae ameumba uhai na umauti(maisha na kifo) ili kukujaribuni akufanyieni mtihani yupi miongoni mwenu atatenda mema."
Quran 29:2

"Na mungu hutenda atakavyo".
Hivyo mungu hajapanga kushuka hapa duniani kuwa akuzuie wewe usifanye hili ni baya na fuata hili jema.Lakini alipanga kuwaleta mitume ili wakumbushe na kuhofisha na wawafundishe watu yaliyo mema.

Alichofanya yeye alikuumba na akakupa zawadi ya akili ili ufahamu jema na baya.
Mbona mtu anapohisi njaa hasubiri mungu amshushie chakula ila hutumia akili yake kusurvive.

Na kuhusu habari ya mitume hatujawaona ila tunaamini kupitia vitabu vya Mungu ambavyo walikuja navyo hao mitume.Hakuna mtume aliyekuwa akisema kwa matashi yake.
Hivi nikuulize tu je wewe hao mitume na manabii ulishawahi kuwaona? Sasa huyo mungu atawahukumu vipi watu kwa kufuata stori alizozikuta ilihari anajua binadamu hajakamilika? Lazima binadamu atatumia utashi wake binafsi.

Katika dunia kuna makundi mawili wenye imani na mungu na wenye kuamini sayansi, jee kuna mtu aliyewahi kumuona mwanasayansi wa mwanzo kabla ya jesus.

.Kwani wewe ulipozaliwa tu ulijua kama kuna kula, kunywa na e.t.c lakini mbona umefuata uliyoyakuta.Jee unaweza kuchagua mfumo tofauti na uliopo useme hutokula?Kwasababu umeukuta.

Sasa alijuwa wazi udhaifu wa alichokiumba na maisha yake ndio maana akaleta mitume na vitabu
ingawa wachache duniani wenye kuvifuata.

2. Mungu angekuwa ana muonesha mtu katika njia njema basi angemuangamiza huyo shetani.
Kwani shetani ana uwezo wa kumpoteza mtu?

"Na shaytwaan atasema itakapohukumiwa amri: (ya kuingia Jannah au Motoni) “Hakika Allaah Alikuahidini ahadi ya haki (na leo Ameitimiza); nami nilikuahidini lakini sikukutimizieni (nikakusalitini). Na sikuwa na mamlaka juu yenu isipokuwa nilikuiteni mkaniitikia. Basi msinilaumu, bali laumuni nafsi zenu. Mimi siwezi kukusaidieni (shida ya adhabu) wala nyinyi hamuwezi kunisaidia. Hakika mimi nilikanusha kwa yale mliyonishirikisha zamani. Hakika madhalimu watapa adhabu iumizayo."
14:22 QURAN

3. Kwanini huyo Mungu amuumbe kiumbe dhaifu halafu mwisho wa siku akamtie kwenye moto wakati yeye ndio aliyempangia awe hivyo?
Mungu hjampangia mtu kwenda motoni wala peponi ila yeye amewaekea tu vitu hivo viumbe wake.Yanayompeleka mtu motoni ni maasi yake mwenyewe.
Hivi kwasabu umekuwa maskini, unaweza kusema baba yako na mama yako ndio wamesababisha?si kila mtu anachagua njia ya maisha yake.

4. Kwanini huyo Mungu anawaacha watu wanaishi katika mateso, chuki, dhuluma, bila yeye kuwalinda?

Mungu hawaachi pasi nakuwalinda watu wanaofuata amri zake.kwa sababu watu wamemsahau na e amefanya kuwasahau.

4. Kwanini huyo mungu amekosa njia sahihi ya kuwafanya watu wamjue yeye wakati yeye anajisifu kuwa ana uwezo, haki, na upendo sasa kwanini dini zisambazwe kwa uonevu wa vita, biashara ya utumwa, harakati na vita za kugombea dola?
dini ya mungu wa kweli haijasambazwa kwa vita.kwa upande wangu kuran inasema hivi:

"Hakuna kulazimishwa (mtu kuingia) katika dini.Uongofu umekwisha pambanuka na upotofu.Basi anayemkataa shetani na akamwamini mwenyezi mungu bila shaka yeye ameshika kishiko chenye nguvu kisichokuwa na kuvunjika.Na mwenyezi mungu ni mwenye kusikia na kujua"

2:256 QURAN

5. Mungu ana umbile gani? Kama ana umbile basi nae kaumbwa. Kama hana umbo lolote basi huyo mungu hayupo

Mungu tunaemjua sisi waislamu hana umbo ila kwa kusema alokuwa hana umbo hayupo utakuwa umekosea.
Kwasababu hata joto,baridi na upepo hatuoni umbo lake ila tunaona athari zake au unakataa?
"Na huyo mungu hajafanana na chochote kile"
112:3 Quran
 
Hakuna ulichojibu hapo. Twende swali moja baada ya moja maana naona nikikujazia maswali nakuchanganya. Embu nijibu kwanza hapo maana hakuna ulichojibu zaidi ya kumtetea mwarabu aliyekuletea dini kwa utumwa.
 
Hakuna ulichojibu hapo. Twende swali moja baada ya moja maana naona nikikujazia maswali nakuchanganya. Embu nijibu kwanza hapo maana hakuna ulichojibu zaidi ya kumtetea mwarabu aliyekuletea dini kwa utumwa.
Nimeshajibu na sitokuwa ni mwenye kurudia.
Kama hujakubali majibu poa.Ila mimi nakupa mtihani mmoja.
Hata uishi miaka 1000 au 2000 duniani lazima uondoke.
Tamani kufa kama hakuna mungu na kwanini hutamani kufa?
 
Nimeshajibu na sitokuwa ni mwenye kurudia.
Kama hujakubali majibu poa.Ila mimi nakupa mtihani mmoja.
Hata uishi miaka 1000 au 2000 duniani lazima uondoke.
Tamani kufa kama hakuna mungu na kwanini hutamani kufa?
Kwahiyo unaishi kwa hofu kwa sababu unaamini kuna mungu?
Kama ungejua hayupo ungejipiga risasi ufe?
 
Kwahiyo unaishi kwa hofu kwa sababu unaamini kuna mungu?
Kama ungejua hayupo ungejipiga risasi ufe?
Kwani mimi naogopa kifo.
Naogopa adhabu za mola wangu kwa yale mabaya niliyoyatanguliza kwasababu ya ujinga.
 
Kwani mimi naogopa kifo.
Naogopa adhabu za mola wangu kwa yale mabaya niliyoyatanguliza kwasababu ya ujinga.
Sasa kama unahuogop kufa kwann usitubu madhambi yako kisha ujiue? Kwa maana utenda pepon moja kwa moja
 
Nimeshajibu na sitokuwa ni mwenye kurudia.
Kama hujakubali majibu poa.Ila mimi nakupa mtihani mmoja.
Hata uishi miaka 1000 au 2000 duniani lazima uondoke.
Tamani kufa kama hakuna mungu na kwanini hutamani kufa?
Mbona kuna watu wanajiua, kwa kigezo chako ulichotumia wewe basi Mungu hayupo maana watu wapo wengi waliotamani kufa na kisha akanywa sumu na wengine wakajinyonga.
 
Mbona kuna watu wanajiua, kwa kigezo chako ulichotumia wewe basi Mungu hayupo maana watu wapo wengi waliotamani kufa na kisha akanywa sumu na wengine wakajinyonga.
Hukunifahamu.
Nimekusudia hivi tamani kufa halafu utapa uhakika kama habari ya mungu ni kweli ama uongo.Kama itakuwa hakuna kitu ndio hakuna mungu na nature yenu ime work vyema na kama ukikuta pasi na hapo basi ndio imekula kwako.
 
Toka jf ianze na mpaka itakapo kufa huu ndio uzi uliobora kuliko yooote
 
Soma hii interview ya huyu gaidi aliyekamatwa kabla hajajilipua pakistan, kisha kasome quran 78:31-33, 56:36 mnavyodanganywa kuhusu mabikira wa pepon


New Delhi: An arrested Pakistani suicide bomber said
that he will blew himself because 72 virgins are waiting
for him in heaven.
Interestingly, militant groups like ISIS also quote Islamic
scriptures to point out that a suicide bomber will get 72
virgins in heaven.
The suicide bomber said that he will carry out the blast
even if he founds his family members in the crowd.
According to him, a man who is a jihadi is true follower
of Islam whereas others are not.
The suicide bomber, who is now under arrest in
Pakistan, said that 72 virgins are waiting for him and
there is no logic in marrying only one here.
Given below are the excerpts of his interview:
Q. Will you take revenge from all?
A. Yes, I will – as much as I can, even if it includes
my family. If I go out for suicide bombing and I see my
family there, even then I will blow myself
Q. In suicide bombing innocent Muslims and even those
who hate America are killed.
A. No. Those who are not taking part in Jihad are not
innocent. Only those are innocent who are taking part in
the Jihad in Miranshah etc. We have no repentance, no
sorrow for killing. If our leader orders us to kill two
people and hundreds are killed in this process even then
we will do.
Q. How many brothers and sisters you have?
A. 9, including me.
Q. Your family supports you for this? Do they
(family) know about you?
A. They tried to stop me but I don’t care.
Q. Are you married?
A. No
Q. Do you wish to marry?
A. No, 72 virgins are waiting for me in heaven – so
why I should prefer only one here?
Q. Are virgins waiting for those as well who are killed
at your hands?
A. No. They will be treated there (hereafter) as per
their intentions. If they support government, then they
will be answerable accordingly. Our leader has told us
that you will not be responsible for the killing of those
who are killed other than your target.
No one in Pakistan is innocent. Whoever is outside
Waziristan is not innocent, they will be innocent if they
go and support Taliban (in their fighting).
 

Naanza na 56:36 ambayo jina la sura hiyo ni waqiaa aya ya 36
"Na tukawafanya vijana ndio kwanza kama kwamba wanaolewa".
katika aya hii sijaona kabisa kwanza bikra 72.

78:31-33 quran ambayo jina lasura nabai na aya 31 mpaka 33
31:"Bila ya shaka wanaomcha mungu wameekewa mambo yenye kuridhisha".
32:"Na mabustani na mizabibu"
33:"Na wanawake vijana walio hirimu na wanaume wao".

Mbona unakwepa suali. Mimi nimekwambia hivi nipoint aya isemayo kwa kulipuka mabomu na makafiri kuna bikra 72.

Jua ya kwamba sisi waislamu tunahifadhi kitabu kzima cha quran na tafsiri zake hivyo tukikwambia hakuna ndo hakuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…