Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 562
- 1,148
Unataka kumaanisha niniKama Mungu ni msawa kwanini aliumba wanyama wawindane na kuuana km carnivores(simba, chui, Tiger etc) kula herbivores Km swala, pundamilia etc. why not wote angewafanya wale majani tu? Hili swali kwa wenye dini. Sitoenda kwa uonevu wa binadamu coz at least binadamu ana some free will.
Hata majani nayo yana haki ya kuishi na sio mapendeleo ya majani kuliwa na wanyama wengine. Sasa haki iko wapi?Kama Mungu ni msawa kwanini aliumba wanyama wawindane na kuuana km carnivores(simba, chui, Tiger etc) kula herbivores Km swala, pundamilia etc. why not wote angewafanya wale majani tu? Hili swali kwa wenye dini. Sitoenda kwa uonevu wa binadamu coz at least binadamu ana some free will.
Binadamu hana free will…Kama Mungu ni msawa kwanini aliumba wanyama wawindane na kuuana km carnivores(simba, chui, Tiger etc) kula herbivores Km swala, pundamilia etc. why not wote angewafanya wale majani tu? Hili swali kwa wenye dini. Sitoenda kwa uonevu wa binadamu coz at least binadamu ana some free will.