Mungu tunatubu kama kuna mahali tumekukosea sisi watanzania au tumewakosea wazee wetu waliokwisha tangulia mbele ya haki.
Mungu usiposhuka nakuliongoza Taifa hili miaka mitano tena hatujuwi Nani atatuongoza.
Mungu unajuwa yalio sirini na yalio sio yasirini. Funua ya sirini uliponye Taifa funua tusio yajuwa ili tusiingie mtegoni mwa adui.
Taifa hili tunakuitaji wewe kuliko watu au vitu maana walijuwa Taifa hili kabla yakuwepo na hata baada yakuwepo.
Tusamehe Baba na uwalinde wale wote wanatetea umoja wetu na Katiba yetu asiwepo wakupotea ama kutana na adui maana wewe ni Mungu na haushindwi Kwa lolote.
Mamlaka yeyote inawekwa na wewe Sisi hatuna jeshi wala idara nyeti kutulinda Ila tuna Wewe Mungu, kama kweli Yale yanatendeka ni haki yetu basi Wewe wajuwa Ila kama kuna maonevu ambayo sii sahihi na Wewe Mungu unaona basi utatujibu Kwa wakati wako. Amen