Mungu Likumbuke Taifa la Tanzania

Waliozoea kuishi Kwa kutegemea mshahara ktk ajira binafsi na sirikali wasaidie kujua pia kuwa Mali inapatikana shambani,

Wajue pia bila ya mshahara wanaweza pia kuishi.

Wote tusizitegemee akili na nguvu zetu, Bali msaada wetu u katika Bwana Mungu Muumba wa Mbingu na Nchi,

Tunakuomba utusikie.πŸ™πŸ™πŸ™

Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.

Amen.
 
Mungu Baba ya kumbuke haya maombi God have a Mercy with Us. Uwenda hatukuiona leo tukacheka jana na uwenda hatuijuwi kesho ndio maana tunaona kawaida. Ila sio kawaida Mungu liponye Taifa tumekukosea sana na tumekosea sana sasa tunatubu BabaπŸ˜­πŸ˜­πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ™πŸ™πŸ™
 
Amin
 
Mufti Mkuu wa Tanzania anamuombea Dua Mwizi wa fedha za Watu Masikini TASAF kiongozi wa Wasiojulikana unategemea Mungu atatuchukulia Serious au anatuona kuwa ni Taifa lililooza anatamani ashushe gharika kuu.

Hamna kitu hapa Taifa limejaza Wanafiki tu.
 
Kweli inabidi muombe sana sana maana ukiangalia watu wanavyolitafuna taifa huku wengine nao kutwa wanaua wenzao kwa ajali zisizoisha kwa laana
Ukiangalia wafanyakazi kila sehemu wanaiba na kuomba rushwa, yaani kila sehemu ni dhambi tu
Maombi yanasaidia ila nanyi mjisaidie kila kitu mnafurahia hata mkiibiwa mnacheka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…