GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hongereni sana na mzidi kuwa wema na makini hivyo hivyo kwani ningeshangaa sana kama kuna Member humu anatumia dawa za kulevya au Bangi na hata kunywa Gongo ila bahati nzuri wote tuko safe.
Kila Mtu ajipigie makofi hapo alipo tafadhali.
Unajuaje kaka, inawezekana kabisa kuwa Gwajima au Manji ni member humu kwa majina yao ya Bandia, siku wakisema wana JF watumie majina yao halisi basi member wa JF watapungua sana, na JF itakuwa kama facebook tu
IQ ndogo za Manji na Gwajima haziwezi kuwafanya waungane na Great Thinkers wa humu JF. Halafu isitoshe humu hakuna ' Sembe ' wala ' Waifu ' za Watu ambazo inasemekana ndizo ' Hobbies ' kubwa za Watajwa wako hao.
hivi mbowee sio mwanaJF?
Wema, TID, chid, tunda, petit man, hawapo huku kwani mkuu..?Hongereni sana na mzidi kuwa wema na makini hivyo hivyo kwani ningeshangaa sana kama kuna Member humu anatumia dawa za kulevya au Bangi na hata kunywa Gongo ila bahati nzuri wote tuko safe.
Kila Mtu ajipigie makofi hapo alipo tafadhali.
Wema, TID, chid, tunda, petit man, hawapo huku kwani mkuu..?
Me kuna nnaowajua wapo humu na ni wachangiaji wazuri sana..
Mkuu mleta mada umechemka, yaani umeifananisha Jf na group la whatsap la ulosoma nao Kakonko huko?
Jf Kuna watu wa kila aina,majambazi,vibaka,drug delears,makahaba,wahuni,wakurugenzi,makachero wa govt n.k.
Usiichukulie jf kikawaida mkuu