GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #21
GENTAMYCINE, umejuaje kuwa waliokamatwa hawapo hapa jamvini?
Nimefanya ' upembuzi yakinifu ' Mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
GENTAMYCINE, umejuaje kuwa waliokamatwa hawapo hapa jamvini?
Waanze kuitwa kwa ID zao... Wakahojiwe..
Hivi unajua kuwa mkuu wa kaya anaweza akawepo humu!!!!!
[emoji28][emoji28][emoji23][emoji16]Hongereni sana na mzidi kuwa wema na makini hivyo hivyo kwani ningeshangaa sana kama kuna Member humu anatumia dawa za kulevya au Bangi na hata kunywa Gongo ila bahati nzuri wote tuko safe.
Kila Mtu ajipigie makofi hapo alipo tafadhali.
[emoji28][emoji23][emoji23][emoji16][emoji3]Jf is not a curse wadau...Kaka amini usiamini JF ni kichaka Kikubwa sana, kuna watu wakubwa wengi na wenye maijna yao ni member wa humu JF, Manji labda, lakini Gwajima yumo humu
Mkuu unafanya intelejensia kiaina...eeh!
Ki ufupi mie si hofu kuandika jina langu kamili nakutoa namba zangu za mawasiliano na ninapo ishi na shughuli nafanya...Hongereni sana na mzidi kuwa wema na makini hivyo hivyo kwani ningeshangaa sana kama kuna Member humu anatumia dawa za kulevya au Bangi na hata kunywa Gongo ila bahati nzuri wote tuko safe.
Kila Mtu ajipigie makofi hapo alipo tafadhali.
Ki ufupi mie si hofu kuandika jina langu kamili nakutoa namba zangu za mawasiliano na ninapo ishi na shughuli nafanya...
sababu ni zaidi ya mara mia moja nime declare my details katika online life.
Nina e mail naitumia kkt my handheld device, nina facebook account, natumia uber,fasta fasta..
..
Nina TIN namba..nipo brela, manispaa wana details zangu..
chuo nilisoma wana details zangu....
Kampuni za simu wana details zangu...
Ngumu...
nime subscribe e alrts nyingi mwisho kabisa natumia android device.
Kutoa taarifa binafsi za kufahamu wewe kwa ulimwengu huu wa internet of things ni normal ukitaka acha uone cost yake...
except watakiwa kupunguza na kufahamu unachokifanya..
coz si kila entity inataka details zako is loyal..
Asante,
[emoji1][emoji1]
Ha! Ha! Ha!Maelezo yako yote yanafanana na Ayub Kiboko aliyetajwa leo na anatafutwa na Kamishina Rogers Sianga. Naomba utaangulie mwenyewe Central Police Mkuuu kwani umejitaja vizuri mno.
Mkuu unauliza ' matako ' chooni?
Genta bana kuna kipindi nilikuwa sikuoni humu majukumu nini mkuu?
Lini utaenda kuonana na RC Makonda na ACP Sirro Central Mkuu kwani ID yako tu ' imeshajitosheleza '.
Nsamehe ila ulichoandika hata hakieleweki. Embu na ww rudia kusoma kama utaelewa ulichoandikaKi ufupi mie si hofu kuandika jina langu kamili nakutoa namba zangu za mawasiliano na ninapo ishi na shughuli nafanya...
sababu ni zaidi ya mara mia moja nime declare my details katika online life.
Nina e mail naitumia kkt my handheld device, nina facebook account, natumia uber,fasta fasta..
..
Nina TIN namba..nipo brela, manispaa wana details zangu..
chuo nilisoma wana details zangu....
Kampuni za simu wana details zangu...
Ngumu...
nime subscribe e alrts nyingi mwisho kabisa natumia android device.
Kutoa taarifa binafsi za kufahamu wewe kwa ulimwengu huu wa internet of things ni normal ukitaka acha uone cost yake...
except watakiwa kupunguza na kufahamu unachokifanya..
coz si kila entity inataka details zako is loyal..
Asante,
[emoji1][emoji1]
Ah basi sawa tuache tu kwani ina umuhimu wa kueleweka? five second rule yasema if it does not matter in five years do not waste five second giving it a mind!Nsamehe ila ulichoandika hata hakieleweki. Embu na ww rudia kusoma kama utaelewa ulichoandika