Mungu mkubwa hakuna Member wa JF anayetumia au kuuza drugs

Waanze kuitwa kwa ID zao... Wakahojiwe..

Hivi mnataka kusema kumbe yawezakana hata akina Ayubu Kiboko, Ally wa Mbezi juu, Saidi Magereji, Juma Mtaroni, Mama Lishe wa Bunju Sokoni tunao humu humu JF?
 
Hivi unajua kuwa mkuu wa kaya anaweza akawepo humu!!!!!

Unasema kweli Mkuu? Ngoja nianze kuchunguza ID ya ' Kibabe ' halafu ' Bishi ' humu JF halafu nianze ku connect the dots kwani naweza ' kumng'amua '.
 
Hongereni sana na mzidi kuwa wema na makini hivyo hivyo kwani ningeshangaa sana kama kuna Member humu anatumia dawa za kulevya au Bangi na hata kunywa Gongo ila bahati nzuri wote tuko safe.

Kila Mtu ajipigie makofi hapo alipo tafadhali.
[emoji28][emoji28][emoji23][emoji16]
 
Kaka amini usiamini JF ni kichaka Kikubwa sana, kuna watu wakubwa wengi na wenye maijna yao ni member wa humu JF, Manji labda, lakini Gwajima yumo humu
[emoji28][emoji23][emoji23][emoji16][emoji3]Jf is not a curse wadau...

ni kitu nzuri
 
Naomba kuuliza na mheshimiwa makonda yupo humu,je anaweza tumia jina gani na avatar gani kwa mfano
 
Hongereni sana na mzidi kuwa wema na makini hivyo hivyo kwani ningeshangaa sana kama kuna Member humu anatumia dawa za kulevya au Bangi na hata kunywa Gongo ila bahati nzuri wote tuko safe.

Kila Mtu ajipigie makofi hapo alipo tafadhali.
Ki ufupi mie si hofu kuandika jina langu kamili nakutoa namba zangu za mawasiliano na ninapo ishi na shughuli nafanya...


sababu ni zaidi ya mara mia moja nime declare my details katika online life.

Nina e mail naitumia kkt my handheld device, nina facebook account, natumia uber,fasta fasta..
..
Nina TIN namba..nipo brela, manispaa wana details zangu..
chuo nilisoma wana details zangu....
Kampuni za simu wana details zangu...


Ngumu...

nime subscribe e alrts nyingi mwisho kabisa natumia android device.

Kutoa taarifa binafsi za kufahamu wewe kwa ulimwengu huu wa internet of things ni normal ukitaka acha uone cost yake...

except watakiwa kupunguza na kufahamu unachokifanya..

coz si kila entity inataka details zako is loyal..

Asante,

[emoji1][emoji1]
 

Maelezo yako yote yanafanana na Ayub Kiboko aliyetajwa leo na anatafutwa na Kamishina Rogers Sianga. Naomba utaangulie mwenyewe Central Police Mkuuu kwani umejitaja vizuri mno.
 
Maelezo yako yote yanafanana na Ayub Kiboko aliyetajwa leo na anatafutwa na Kamishina Rogers Sianga. Naomba utaangulie mwenyewe Central Police Mkuuu kwani umejitaja vizuri mno.
Ha! Ha! Ha!
Acha niendelee ku goma kidogo.

nashukuru kwa ushauri wako
....


umekosea kutafakali sehemu ndogo kidogo...

huyu Ayoub Kiboko alitajwa pia week ilipita kama angekuwa yupo na portifolio hii Angekuwa keshakamatwa tangu jumamosi maana alitakiwa kituoni ijumaa wiki iliyopita hajaendaga...
 
mimi nadhani mtoa mada anajua ukweli kuwa humu yapo magwiji tena yanatumia jf kama kibanda cha kufanyia mauziano/kujifichia
 
Lini utaenda kuonana na RC Makonda na ACP Sirro Central Mkuu kwani ID yako tu ' imeshajitosheleza '.

Hao mm nshakaa nao meza moja siyo Mara moja wala mbili. Kova ndo alinchoka kabisa maana nlimsumbua sana hadi akaniita akaniambia kijana wangu achana na hizi mambo. Nkamwambia sawa Mzee.

Akanipeleka kwa Gwajima nikaombewa nkaokoka na sasa ni muimba kwaya mzuri kwa Gwajima. Juzi hukuniona nkitumbuiza pale central?
 
Nsamehe ila ulichoandika hata hakieleweki. Embu na ww rudia kusoma kama utaelewa ulichoandika
 
Nsamehe ila ulichoandika hata hakieleweki. Embu na ww rudia kusoma kama utaelewa ulichoandika
Ah basi sawa tuache tu kwani ina umuhimu wa kueleweka? five second rule yasema if it does not matter in five years do not waste five second giving it a mind!

cheers, peace chief!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…