Mungu mkubwa mtetemeko Istanbul Hujaleta maafa

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
9,265
Reaction score
20,526
Mungu ameweza kuwaepusha wataruki na maafa baada ya mtetemeko mkubwa kuikumba Leo jiji Lao kubwa la Istanbul.

Cha kumshukuru Mungu hakuna kifo Bali majeruhi hasa watu waliokuwa wakijirusha kutoka ghorofani kuofia kuangukiwa Na majengo.

Syria kaska

Licha ya kutokuwepo na maafa pia serikali ya uturuki na jiji la Istanbul wanasheria Kali ya vibali na ufuatiliaji wa ujenzi kwasababu uturuki ni ukanda wa mtetemeko na imesaidia Leo majengo kutoporomoka na hakuna maafa ukilinganisha Na mtetemeko uliotokea kusini mwa uturuki na mpaka wa Syria ulioua watu 55000 kwasababu ya ubora duni WA majengo.

Ila hofu bado imetanda jijini Istanbul watu wakiogopa kuingia makwao.

Nyau de adriz
 
Mungu wa Yakobo awe nao. Majanga hayana mwenyewe.
 
Mungu wa Hamas na Hezbollah huwa simwelewi kabsa! Karuhusu kuuwawa Kwa viongozi wakubwa wa Hamas na Hezbollah?
 
Mungu ameweza kuwaepusha wataruki na maafa baada ya mtetemeko mkubwa kuikumba Leo jiji Lao kubwa la Istanbul.

Cha kumshukuru Mungu hakuna kifo Bali majeruhi hasa watu waliokuwa wakijirusha kutoka ghorofani kuofia kuangukiwa Na majengo.

Syria kaska

Licha ya kutokuwepo na maafa pia serikali ya uturuki na jiji la Istanbul wanasheria Kali ya vibali na ufuatiliaji wa ujenzi kwasababu uturuki ni ukanda wa mtetemeko na imesaidia Leo majengo kutoporomoka na hakuna maafa ukilinganisha Na mtetemeko uliotokea kusini mwa uturuki na mpaka wa Syria ulioua watu 55000 kwasababu ya ubora duni WA majengo.

Ila hofu bado imetanda jijini Istanbul watu wakiogopa kuingia makwao.

Nyau de adriz

View: https://x.com/RadioGenoa/status/1915065377253466171
 
Back
Top Bottom