joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Kama ndio hivyo Wahindi wasingekuwa na mafanikio maana hawa jamaa hivyo vitu wana viamini mnooo.Mizimu haitaki maendeleo, mganga na mchawi wanaouwezo wa kuongea na mizimu ya ukoo wenu ili wakudhuru kwa sababu wote boss wao ni mmoja
Haya mambo ya utajiri kila mtu ana formula yake,ila kama ww umeamua kumuomba Mungu muombe kweli kweli huku ukijituma kufanya kazi, ila kuna wengine wanaamini mambo mengine na bado wanatoboa.