joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Kama ndio hivyo Wahindi wasingekuwa na mafanikio maana hawa jamaa hivyo vitu wana viamini mnooo.Mizimu haitaki maendeleo, mganga na mchawi wanaouwezo wa kuongea na mizimu ya ukoo wenu ili wakudhuru kwa sababu wote boss wao ni mmoja
Kama haKukutanisha ukoo fulani ili kukamilisha mila, desturi, kuwakumbuka waliokufa zamani.Ili kujulisha kizazi kipya asili yao.Kukagua, kuombea na kupalilia makaburi.kuandaa chakula na pombe za kiasili kisha kucheza ngoma na burudani za jadi.
Na kukumbushana mambo mbali mbali ya kiukoo na mipangilio mbalimbali.
Utajiri wao hautokani na mizimu bali ni kuiga mfumo wa maisha ya kiuchumi ulioasisiwa na wayahudi ambao hata wachina,wachaga,wakinga, waarabu, wazungu uutumia,wengi hatuufuati thus tu masikini.Kama ndio hivyo Wahindi wasingekuwa na mafanikio maana hawa jamaa hivyo vitu wana viamini mnooo.
Haya mambo ya utajiri kila mtu ana formula yake,ila kama ww umeamua kumuomba Mungu muombe kweli kweli huku ukijituma kufanya kazi, ila kuna wengine wanaamini mambo mengine na bado wanatoboa.
Hapana hakuna kitu kisichokuwa na chanzo.. Ukitaka ithibati kutoka kwangu nitakupa ya kiroho na kuthibitisha kwamba uchawi upoMimi sijaomba ya kisayansi....Mimi nimeomba ithibati tu basi ..Wewe mwenyewe ndo uchague unipe ya aina gani, chamsingi isiwe na shaka tu basi.
Umesema mizimu haitaki maendeleo? Ndipo nilipo kushangaa maana kwa wahindi wana aamini hivi vitu tena wanafanya kwa uwazi na swala la mizimu hauhitaji mganga wa kienyeji, bali hata wewe unaweza kuongea nao ila unatakiwa uwe na IMANI.Kama ha
Utajiri wao hautokani na mizimu bali ni kuiga mfumo wa maisha ya kiuchumi ulioasisiwa na wayahudi ambao hata wachina,wachaga,wakinga, waarabu, wazungu uutumia,wengi hatuufuati thus tu masikini.
Mizimu ni miungu na sio Mungu.Umesema mizimu haitaki maendeleo? Ndipo nilipo kushangaa maana kwa wahindi wana aamini hivi vitu tena wanafanya kwa uwazi na swala la mizimu hauhitaji mganga wa kienyeji, bali hata wewe unaweza kuongea nao ila unatakiwa uwe na IMANI.
Kila kitu msingi wake ni IMANI,iwe mkristo, muislam,budha,uwe unaabudu mizimu.
Wapo wa Africa wanao abudu mizimu na wana maendeleo, mmoja wapo namjua ni msomi na ana master ya procurement na wapo wengi sana.Mizimu ni miungu na sio Mungu.
Mbona waafrika wanaabudu mizimu na bado awatoboi
Hao ni wazee wa makafara huo ni utajiri wa makafara ya damu za watu kupitia ajali nkWapo wa Africa wanao abudu mizimu na wana maendeleo, mmoja wapo namjua ni msomi na ana master ya procurement na wapo wengi sana.
Ila vyote iwe mizimu au Mungu unatakiwa uwe na Imani ndio point yangu.
Jamaa hatoi kafara lolote, sio huyo na kumbuka kuna mwanasheria mmoja nilisoma makala yake yy naye anaamini katika mizimu.Hao ni wazee wa makafara huo ni utajiri wa makafara ya damu za watu kupitia ajali nk
Ndio,naomba hiyo ya kiroho mkuuHapana hakuna kitu kisichokuwa na chanzo.. Ukitaka ithibati kutoka kwangu nitakupa ya kiroho na kuthibitisha kwamba uchawi upo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kafara ni siriJamaa hatoi kafara lolote, sio huyo na kumbuka kuna mwanasheria mmoja nilisoma makala yake yy naye anaamini katika mizimu.
Endelea kukalili.Kafara ni siri
Uliona wapi kitu Cha bure dunianiEndelea kukalili.
Ndizo zilizo kilea kizazi chenu mpaka ww ukapatikana.Uliona wapi kitu Cha bure duniani
Kumbuka hata yesu mudi nawengineo ni mizimu mambo leoMizimu ilitake advantage ya kuabudiwa na watu zamani kwa sababu hawakujua wanachokiabudu.
Mizimu ni wakuu wa falme za Giza wanaosimamia jamii,ukoo,kabila,taifa au familia fulani kwa kuishape ishi kulingana na matakwa ya mizimu
Isome sana na uitunze moyoni BIBLIA uliyonayo,AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZA KWAKO.
BIBAFSI SIAMINI KABISA KITABU CHOCHOTE ZAIDI YA BIBLIA.
HIZO REJEA NI ZA KISHETANI.
Mizimu utoka kuzimu tofaut na haoKumbuka hata yesu mudi nawengineo ni mizimu mambo leo