Mungu msaidie mzee Kilomoni apate ushindi dhidi ya wabaya wa simba.

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,286
Reaction score
6,736
Mzee huyu anaijua simba vizuri na pia ni miongoni mwa waliokabidhiwa timu kutoka mikononi mwa waasisi, si hivyo tu ni mtu mwenye mapenzi ya dhati na timu. Sisi wana SIMBA tunaojitambua tuko bega kwa bega na wewe. Yeye kama ana pesa si aanzishe timu yake kama mzee wa AZAM? MO! TUACHIE TIMU YETU.
 
Hakuna cha ushindi ,Ajiunge Yanga kule mazezeta atawashinda
 
Mzee huyu anaijua simba vizuri na pia ni miongoni mwa waliokabidhiwa timu kutoka mikononi mwa waasisi, si hivyo tu ni mtu mwenye mapenzi ya dhati na timu. Sisi wana SIMBA tunaojitambua tuko bega kwa bega na wewe. Yeye kama ana pesa si aanzishe timu yake kama mzee wa AZAM? MO! TUACHIE TIMU YETU.
Mchukueni nyie yanga aje kwenye timu yenu aungane na mazezeta wenzake mliojaa huko kama wewe
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Mchukueni aje ashike nafasi ya papa zahera
 
  • Thanks
Reactions: Tui
ETI amekabidhiwa timu na waasisi? Waasisi gani hao?Wanachama wote wana haki sawa hakuna aliye na hadhi kubwa ya kujifanya anamiliki timu.
 
Mzee huyu anaijua simba vizuri na pia ni miongoni mwa waliokabidhiwa timu kutoka mikononi mwa waasisi, si hivyo tu ni mtu mwenye mapenzi ya dhati na timu. Sisi wana SIMBA tunaojitambua tuko bega kwa bega na wewe. Yeye kama ana pesa si aanzishe timu yake kama mzee wa AZAM? MO! TUACHIE TIMU YETU.
Ameeen
 
Huyu ni kitendea kazi cha kwasukwasu lakini ndiyo hivyo amesha nasa kwenye tope.
Screenshot_2019-08-07-10-12-24.jpeg
 
Back
Top Bottom