GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,286
- 6,736
Mzee huyu anaijua simba vizuri na pia ni miongoni mwa waliokabidhiwa timu kutoka mikononi mwa waasisi, si hivyo tu ni mtu mwenye mapenzi ya dhati na timu. Sisi wana SIMBA tunaojitambua tuko bega kwa bega na wewe. Yeye kama ana pesa si aanzishe timu yake kama mzee wa AZAM? MO! TUACHIE TIMU YETU.