Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hii MADA haina uhusiano na kusifia mazuri au makubwa aliyoyafanya Rais Samia.
Huu Uzi hauna uhusiano na kukandia au kufifisha shughuli za Rais Samia. Uzi huu ni kwaajili ya onyo .
Nyie mnaomsifia Rais Samia kwa malengo yenu binafsi either kutaka cheo, pesa au ulinzi wa shughuli zenu mnamchonganisha Rais Samia na muumba wake.
Endeleeni kumsifia
Naishia hapa .