Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Sawa wataanza kukutukuza wewe unless una tafsiri Yako ya kutukuzaHii MADA haina uhusiano na kusifia mazuri au makubwa aliyoyafanya Rais Samia.
Huu Uzi hauna uhusiano na kukandia au kufifisha shughuli za Rais Samia.
Uzi huu ni kwaajili ya onyo .
Nyie mnaomsifia Rais Samia kwa malengo yenu binafsi either kutaka cheo, pesa au ulinzi wa shughuli zenu mnamchonganisha Rais Samia na muumba wake.
Endeleeni kumsifia
Naishia hapa .
Hii MADA haina uhusiano na kusifia mazuri au makubwa aliyoyafanya Rais Samia.
Huu Uzi hauna uhusiano na kukandia au kufifisha shughuli za Rais Samia.
Uzi huu ni kwaajili ya onyo .
Nyie mnaomsifia Rais Samia kwa malengo yenu binafsi either kutaka cheo, pesa au ulinzi wa shughuli zenu mnamchonganisha Rais Samia na muumba wake.
Endeleeni kumsifia
Naishia hapa .
asante na ubarikiwe kwa kuwa na macho ya rohoni. Ndio hivyoHii MADA haina uhusiano na kusifia mazuri au makubwa aliyoyafanya Rais Samia.