Mungu ndiye shetani(?)

Umelazimishwa au kushikiwa fimbo kumfuata Mungu ambaye umuamin achana naye mkuu kwanin uteseke, sis wengine tutaendelea kumuamin
 
Hujaona vifungu hapo juu?, Tukileta ya kiswahili ukali wa maneno unapungua,, ngoja ntakutafsiria nikipata mda
Tusipoteze mda wewe humuamin Mungu hujashikiwa fimbo kumuamin kuwa muislamu, muhindu, butha au hata mpagani, life is too short kwanin uteseke kwa sehemu ambayo umeshapoteza Iman nayo
 
Ukiwasoma Gnostic wanaami hivo kuna Mungu anayetawala dunia hii ambaye ameumbwa na Mungu mkuu Sophia kwa wale wanao soma vitabu vya Gnostic au vya David icke wanaelewa
 
Mshamba sana wewe.

Umekula na umeenda chooni ushaona maisha umeyamaliza
 
Umelazimishwa au kushikiwa fimbo kumfuata Mungu ambaye umuamin achana naye mkuu kwanin uteseke, sis wengine tutaendelea kumuamin
Bosi mie siteseki, hapa tunaongea tu na kuvuta mda uende tusinzie🤷🏼‍♂️,actually last time kuingia nyumba ya ibada 1994
 
Bosi mie siteseki, hapa tunaongea tu na kuvuta mda uende tusinzie🤷🏼‍♂️,actually last time kuingia nyumba ya ibada 19
We jamaa umeacha kuingia kanisan 1994 almost 28 years lakin mpaka Leo umeweza ku-quote biblia alafu unadai sio mkristo au ufuatilii ukristo kadanganye watu wengine
 
We jamaa umeacha kuingia kanisan 1994 almost 28 years lakin mpaka Leo umeweza ku-quote biblia alafu unadai sio mkristo au ufuatilii ukristo kadanganye watu wengine
Mimi ni mwanahistory, chochote kinachohusiana na history ya mwanadamu, tangu day one, nafuatilia,, hivyo nafuatilia hindu, christian, islam, budha, technology, ujenzi, ushonaji, ukulima, ufugaji,food processing, engineering, wars, politics, geography, chemistry, industries production, electricity, relationships, crime, etc,,
Kila kitu chini ya jua🤷🏻‍♀️
 
Umwamin Mungu alafu bado unasoma doctrine yake, huwez fuatilia jambo kama halijakuvutia
 
Umwamin Mungu alafu bado unasoma doctrine yake, huwez fuatilia jambo kama halijakuvutia
Navutiwa na kila kitu, lakini haina maana nafuata,, naweza vutiwa na engineering, haina maana sasa ndo nimekua fundi makanika
 
Ukiwa na afya njema, husumbuliwi na madeni, na una vijifedha vya kubadilisha mlo, UTAONGEA MENGI
Ulichoongea ni kweli pata shida utajikuta uko mwamposa au sumbawanga kwa mganga flani, ukiwa mzima wa afya na huna shida unaweza tukana kila mtu
 
Navutiwa na kila kitu, lakini haina maana nafuata,, naweza vutiwa na engineering, haina maana sasa ndo nimekua fundi makanika
Mambo ya spiritual ni tofauti na engineering huwezi fanya hata comparison, kumfuata au kusoma maandiko ya Mungu ni swala spiritual

Mim huwez nikuta naangaika na uislmu, Hindu au budha sababu am not interested
 
Hiyo ni hoja ya mtu, ni mawazo yake, changia bila kutukana. Naona amechoshwa jinsi mambo yanavyoendeshwa kishetani na kuamua huenda Mungu ni huyohuyo shetani. Analia, "Mungu ni mweza wa yote na ni mwema" itaingia akilini unapoona mateso ya hii dunia? Anashindwa kuyazuiya?
 
Ulichoongea ni kweli pata shida utajikuta uko mwamposa au sumbawanga kwa mganga flani
Self control,, ina maana hauna self control,, kama unajijua, utajua kuwa matatizo ni sehemu ya maisha, magonjwa, vifo ni sehemu ya maisha,, kama huna self control na hauna self awareness, then ukipata shida badala ya kusaka solution ndo utakimbilia kwa mwaposa,,
Hata ukienda huko shida ziko pale pale tu🤷‍♂️,
In short shida ni sehemu ya maisha,, binadamu utaugua, utakufa, utachalala, utapata pesa, etc,, yote ni sehemu ya maisha,,
Then hatimae wote tutaugua, tutapata ajali, tutakufa, na huo ndio mwisho, Grand Finale
 
Mambo ya spiritual ni tofauti na engineering huwezi fanya hata comparison, kumfuata au kusoma maandiko ya Mungu ni swala spiritual

Mim huwez nikuta naangaika na uislmu, Hindu au budha sababu am not interested
Niko interested na sprituals, historically,, sasa umekuja duniani kufanya nini kama hata unachoabudu, hujiangaishi kukifuatulia kimeanza vipi?,,
In short wewe uko very deep brainwashed,, na hakuna chenye mtu atafanya uweze kusaidika😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…