Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,097
Napenda Niweke Vizuri Jambo hili ambalo wengi hawalielewi.
kwa mujibu wa biblia ktk kitabu cha YEREMIA 32:27, Inasema Mungu Ni Mungu Wa Wote Wenye Mwili. Sasa tafsiri ya hapa ni kwamba Mungu ndiye muumbaji wa wote wenye mwili, kwamba vitu vyote vimetokana na yeye wakiwemo wanadamu.
lakini ktk masuala ya kuhudumia, kulinda,kubariki,nk, Mungu huwa hawahudumii au kuwalinda wote wenye mwili. kwa mujibu wa biblia YOHANA 17:4-12, Tunaona Hapa Sifa Za Watu Wanaopaswa Kulindwa,kubarikiwa, Kusikilizwa, Kuangaliwa,na Kujibiwa Maombi Zaidi Na Mungu Ni Wale Waliomwamini Na Kumkiri Mwanae Yesu Kristo.
Sasa Hapa Ndipo Wengi Hawaelewi, Mungu Anasikia Sauti Zote Za Duniani, Mbinguni,na Hata Kuzimu, LAKINI Huwa Hasikilizi Sauti Zote, Bali Za Wale Walioliamini Neno Lililohubiriwa Na Mwanae Yesu Kristo. Na Hapa Ndipo Kuna Tofauti Kati Ya Waaminio Na Wasioamini.
Hivyo Ndg Zangu Yamkini Umekua Ukiomba Sana Mungu Akusaidie Mahali Fulani, Kumbuka Kama Hujaamini, Mungu Atakuckia Tu Lakini Hata Kuckiliza. Ni Vema Kuokoka Sasa.