Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Wapagani na wale wengine, msiomuamini Yesu, hebu mtafuteni mungu wenu mwingine, maana Mungu wa Israel amewakaateeni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umegundua nn?
Biblia si miongoni mwa vitabu vya Mungu na ndio sababu kubwa ya kutofautiana ktk makusanyo yakemkuu @Illovo hebu ingia google then search the book of enoch, ukisome na ukielewe, hiki kitabu kilikuwa ktk biblia ya zamani huko ila wajanja flani wakakitoa kwa maslahi yao, halafu kwa nini biblia za walokole zina vitabu 66 huku za waroma zina vitabu vingi zaidi
Biblia si miongoni mwa vitabu vya Mungu na ndio sababu kubwa ya kutofautiana ktk makusanyo yake
.Biblia si miongoni mwa vitabu vya Mungu na ndio sababu kubwa ya kutofautiana ktk makusanyo yake
Itakuwa huvijui vitabu vya Mungu vilivyoteremshwa kwa manabii/mitume wake.....
Katika vitabu vyenye nguvu na mamlaka, amani,,upendo no Biblia. Ili ujue uzuri Wa biblia, chukua hatua leo ya kumwamini Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi Wa maisha yako. Amen
Itakuwa huvijui vitabu vya Mungu vilivyoteremshwa kwa manabii/mitume wake....
1. Zaburi
2. Torati
3. Injili
4. Qur'an
[emoji115] hivi ni vitabu vilivyoletwa na Mungu kupitia mitume wake na si biblia[/QUOTE
Mungu hakuleta vitabu, Bali Yeye alitamka na maneno take yakaandikwa , na kila Neno alilotamka Lima nguvu mpk leo. Mambo haya no rohoni kuyajua yanahtj WOKOVU, amua leo na Mungu awe pmj nawe
Tatizo huo mkitabu wake wenyewe unajichanganyaMpendwa Illovo Na Mke wako Mtarajiwa atu mbwele
Jifunze kuepuka self-refuting kwenye sentensi zako
Mfano unaposema kuwa,Mungu anasikia sauti Zote za Duniani na hata kuzimu
Halafu Baadae unasema,Lakini huwa hasikiliza sauti Zote
Tukueleweje sasa,Huoni kama sentensi ya kwanza Inapingana na ya Pili?Unajua maana ya neno Zote?
Au unaposema kuwa,Mungu Atakusikia Lakini Hatokusikiliza
Hivi Hii sentensi Inaingia Akilini?
Pia umesema kuna sauti za Kuzimu,unaweza kuniambia kuzimu ni wapi?
Hebu tuanze hapa kuokoka n nn?Napenda Niweke Vizuri Jambo hili ambalo wengi hawalielewi.
kwa mujibu wa biblia ktk kitabu cha YEREMIA 32:27, Inasema Mungu Ni Mungu Wa Wote Wenye Mwili. Sasa tafsiri ya hapa ni kwamba Mungu ndiye muumbaji wa wote wenye mwili, kwamba vitu vyote vimetokana na yeye wakiwemo wanadamu.
lakini ktk masuala ya kuhudumia, kulinda,kubariki,nk, Mungu huwa hawahudumii au kuwalinda wote wenye mwili. kwa mujibu wa biblia YOHANA 17:4-12, Tunaona Hapa Sifa Za Watu Wanaopaswa Kulindwa,kubarikiwa, Kusikilizwa, Kuangaliwa,na Kujibiwa Maombi Zaidi Na Mungu Ni Wale Waliomwamini Na Kumkiri Mwanae Yesu Kristo.
Sasa Hapa Ndipo Wengi Hawaelewi, Mungu Anasikia Sauti Zote Za Duniani, Mbinguni,na Hata Kuzimu, LAKINI Huwa Hasikilizi Sauti Zote, Bali Za Wale Walioliamini Neno Lililohubiriwa Na Mwanae Yesu Kristo. Na Hapa Ndipo Kuna Tofauti Kati Ya Waaminio Na Wasioamini.
Hivyo Ndg Zangu Yamkini Umekua Ukiomba Sana Mungu Akusaidie Mahali Fulani, Kumbuka Kama Hujaamini, Mungu Atakuckia Tu Lakini Hata Kuckiliza. Ni Vema Kuokoka Sasa.
Mkuu na wezaje kupata hii bibilia ya walokolemkuu @Illovo hebu ingia google then search the book of enoch, ukisome na ukielewe, hiki kitabu kilikuwa ktk biblia ya zamani huko ila wajanja flani wakakitoa kwa maslahi yao, halafu kwa nini biblia za walokole zina vitabu 66 huku za waroma zina vitabu vingi zaidi
si ndio hizo wanatumia kina kakobe zilizojaa mitaani, za waroma mpaka makanisani kwao haziuzwi ovyoMkuu na wezaje kupata hii bibilia ya walokole
Kuokoka n nn.?Isingekua hivyo kucngekua na wokovu, na iyo ndo tofauti kati ya waliookoka na wasiookoka. Na isingekua hvyo heshima ya Mungu haipo.
Kuokoka n nn.?
Kwan anayetoa kbali cha ufalme Wa mbingun n yesu au munguKuokoka ni Kumkiri Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi Wa maisha yako. Iyo inakupa haki na kibali cha kuuingia Ufalme Wa Mungu na kuepukana na adhabu ya milele .
Sasa chukua hatua leo na Mungu anakusubiri ww
Tupe andiko ambalo yesu mwenyewe anasema mm ni mungu na mniabuduYesu ndiye Mungu tofauti no kwamba Mungu no cheo na Yesu no Nina lake
swala siyo kuokoka,, JiBu sahihi nikwaMBa yatupasa kuishi ukristo,, ""yani tuishi upendo na tupendane,, walio okoka wapo MBinguni sisi Bado tupo safari,,!