MUNGU, Ni Mungu Wa Wote Wenye Mwili, LAKINI Huwa Hawalindi Wote Wenye Mwili

Wapagani na wale wengine, msiomuamini Yesu, hebu mtafuteni mungu wenu mwingine, maana Mungu wa Israel amewakaateeni.
 
Nataka niwaambie mcje kujifariji, labda nitoe mfano Wa kawaida: mfano ww no baba Wa famlya na una watoto, unapotaka kuleta zawadi nyumbani huwa unaangalia idadi ya watoto wako, ingawa mtaani kwako watoto wapo wengi lakini hao hauwaangalii.

Utaleta zawadi sawasawa na watoto wako, ili hao watoto wengne wapate ni lazima labda wajiunge ili wawe sehemu ya famlya yako.

Sasa na Mungu nae alishaweka utaratibu Wa namna ya kuwa nwanafamiliya ktk familiya yake. Na utaratibu wenyewe ndo kupitia WOKOVU . Kwa iyo waliookoka wanaingia kwny famlya ya Mungu na wanahesabiwa Haki ya kupokea vitu, na kuckilizwa.

Hivyo wasiookoka in sawa tu na watoto Wa familiya nyingne.
 
Biblia si miongoni mwa vitabu vya Mungu na ndio sababu kubwa ya kutofautiana ktk makusanyo yake
 
Biblia si miongoni mwa vitabu vya Mungu na ndio sababu kubwa ya kutofautiana ktk makusanyo yake
Biblia si miongoni mwa vitabu vya Mungu na ndio sababu kubwa ya kutofautiana ktk makusanyo yake
.

Katika vitabu vyenye nguvu na mamlaka, amani,,upendo no Biblia. Ili ujue uzuri Wa biblia, chukua hatua leo ya kumwamini Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi Wa maisha yako. Amen
 
.

Katika vitabu vyenye nguvu na mamlaka, amani,,upendo no Biblia. Ili ujue uzuri Wa biblia, chukua hatua leo ya kumwamini Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi Wa maisha yako. Amen
Itakuwa huvijui vitabu vya Mungu vilivyoteremshwa kwa manabii/mitume wake....


1. Zaburi
2. Torati
3. Injili
4. Qur'an

[emoji115] hivi ni vitabu vilivyoletwa na Mungu kupitia mitume wake na si biblia
 
 
Tatizo huo mkitabu wake wenyewe unajichanganya
 
Hebu tuanze hapa kuokoka n nn?
 
Mkuu na wezaje kupata hii bibilia ya walokole
 
Kuokoka ni Kumkiri Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi Wa maisha yako. Iyo inakupa haki na kibali cha kuuingia Ufalme Wa Mungu na kuepukana na adhabu ya milele .

Sasa chukua hatua leo na Mungu anakusubiri ww
Kwan anayetoa kbali cha ufalme Wa mbingun n yesu au mungu
 
mbona kawabariki hata wasiomwamini?
 
Mungu ni kiumbe dhaifu sana ambapo kadri binadamu anavyoendelea mbele katika nyaja mbali mbali basi huzidi kumsahau maana kiuhalisia hana msaada zaidi ya kujifariji, Narudia mungu ni kama kumtakia mtu safari njema au usiku mwema havina madhara wala matokeo yoyote ni wishing too so tuache watu waliokata tamaa wajifariji na mungu but frankly he doesn't exist at all
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…