Mungu ni mwema lakini usiende kucheza muziki na chui

Mungu ni mwema lakini usiende kucheza muziki na chui

Street brain

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2022
Posts
584
Reaction score
767
Wazee wanasema, "Mungu ni mwema lakini usiende kucheza mziki na chui". Nikweli kuwa Mungu anatupenda, ila anapenda pia tutumie akili zetu vyema.

Kuna vitu ameshatuonesha kwamba ni hatari, tujitahidi kutumia akili alizotupa na kwa neema yake ataendelea kutusaidia kwa pale tunaposhindwa. Kumbuka, huwezi kula ukiwa umefunga mdomo. Umeshapewa akili itumie ukishirikiana na Mungu.

'Kaa' (crab) akikushika mkono uwe makini, akikutakia amani😅! Kama jogoo akikukimbiza asubuhi kimbia, huwezi jua aliota meno usiku😝🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️

©️Pocco
 
Back
Top Bottom