Mungu ni mwema

Pole sana mkuu,

Je kuna dawa ulitumia ili hilo jiwe litoke kwa njia hiyo?
Mkuu, kesho ndio "Last Seen/Comment" yangu humu jamiiforums. Tutaonana tena October 2024 (Miezi 23 kutoka mwezi huu).

Ninaangalia kwenye fursa nyingine ya pesa. Kwa bahati mbaya kwenye stories of change nimeangukia pua.

MAWASILIANO YANGU
===
Halotel - 0621 512 203 - Call/SMS

Tigo - 0654 527 779 - Call/SMS/Whatsapp
===

I wish you all the best.
 
Pole sana mkuu kwenye issue ya stories of change,i hope next time itakua ni zamu yako,

Good luck mkuu huko uendako,Mungu akipenda tutakutana tena humu.
Demi
 
Katundu kalivyo kadogo vile maumivu yake sio poa
Kwanza mkojo asubuhi ulikata gafla then nikaanza kusikia kama mtu anapitisha kiwembe ndani ya kibofu
Nikaaanza kuminya minya penis uku nikiwa nimepiga magoti chooni/kwenye kingo ya ukuta cz maumivu yalikua makali mnoo[emoji2955]..gafla ukatoka kwa kasiii sanaa..moja likadunda kwenye ukuta lika tumbukia kwenye sinki..jingine likabaki nikaliwa
 
Kwamujibu wake ni Mungu kwakua kwake yote yanawezekana japo katoa story fupi haina budi kuamini
Mbona nilishaposti nyuma..hadi picha ya majibu ya CT-IVU niliyopewa kutoka muhimbili niliposti?? Na saizi ya jiwe?? Siwezi danganya cz hata dokta nakumbuka alisema ni dogo mnoo" mm5'""why sijalikojoa??
 
Langu lilipungua hadi likawa mm5 japo mwanzo lilikua mm7' baada ya kunywa dawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…