Natamani nisingezaliwa
Senior Member
- Sep 9, 2024
- 112
- 265
Nimefurahi kukusikia tena.Habarini ni kipindi kirefu Kim kimepita nimeamua kuwasalimu tu ndugu zangu. Kwa sasa naendelea vizurii
Asante mkuuKaribu mkuu.
Ndio mkuuNimefurahi kukusikia tena.
Vip, i 'umesharudi kwenye reli' kikamilifu?
Barikiwa.
YeahMkuu samahani vipi kwasasa unafurahia kuzaliwa kwako?
MaombiUlichukua hatua gani mpaka kupona?
AsanteSijui kilichokupata ila nakupongeza kwa kuwa mvumilivu kwa uliyokuwa unapitia.