MUNGU niajlie Hekima, Busara, Mapendo na utajiri wa moyo safi, mali na pesa

MUNGU niajlie Hekima, Busara, Mapendo na utajiri wa moyo safi, mali na pesa

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wakuu

Leo niko hapa kumuomba MUNGU anijalie hekima, busara, mapendo pamoja na utajiri wa moyo na mali na pesa

Ni kwanini nimeamua kumuomba utajiri wa moyo, mali na pesa ni kwa sababu upole bila pesa ni kazi bure

Inatakiwa uwe tajiri wa mali na pesa ili uwagawie masikin na wasiojiweza na hata kuwapatia mitaji vijana na wajane


MUNGU NIJALIE

LONDON BOY
 
Back
Top Bottom