OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Uyo tuna bonda shida iko kwa vyura hawachelewi kujitoa
Kazeni sasa tukutane fainali
View attachment 1315872
Sio muda kidomodomo cha kutoa sare na timu kubwa Simba Sc kitakwisha. Eeeh Mungu nisaidie ombi langu.
View attachment 1315875
Striker katili MK 14 akiwa na "hirizi " yake shingoni akielekea Zanzibar na wenzake leo mchana
Na nyie muwaachie Azam Mkuu ili tukutane kwenye third place.Naomba kila mtu ashinde mechi zake,tatizo watawaachia mtibwa ili watukwepe
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakazia Kaka.
Naona OKW BOBAN SUNZU anataka kutuaminisha kilichopo shingoni kwa Kagere leo na kile cha jumamosi ni sawa.
Ubavu wa kushindana na sisi Uwanjani unao?Kwakwel wakifungwa na mtibwa na ss tujifungishe kwa Azam ili tukutane
Sent from my iPhone using JamiiForums
Na sisi tunawaachia Azam, Afu tunakutana mshindi wa tatu....... Hawa watatueleza tu ile draw walipataje pataje??Naomba kila mtu ashinde mechi zake,tatizo watawaachia mtibwa ili watukwepe
Sent using Jamii Forums mobile app