Mungu nikutanishe na Yanga SC huko Mapinduzi Cup

Ubavu wa kushindana na sisi Uwanjani unao?

Au ndio unataka baada ya mechi mumfedheheshe Manara?
Mana'ha juzi kaonge ahadi machozi yanamlenga lenga. Anasema mhindi wa watu anajitahidi kuuza 'ukwaju' aliomuiga Mpemba ili 5imba walipwe mshahara kwa wakati, lkn uwanjani hawana commitment πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Waachage tu hii mapinduzi Cup ipite tusikutane nao mana vidonda vyao vinavyoanza kukauka tutavitonesha tena na wajue Mapinduzi hamna suluhu.
 
Jonesia Rukya ameelekea Zanzibar kupuliza kipenga na kugawa penati za muamala. Njaanuary hii. Hakuna namna. Hela ya Kanjibhai lazima iliwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…