Twamo
JF-Expert Member
- May 27, 2017
- 2,884
- 5,016
Mikia wana mdomo balaa wanadhani yule maza wao atakuwepo! Safari hii hatutaki sare ni kuwachapa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anataka kuhalalisha alichokutwa naacho tarehe 4 ni kitu cha kawaida kumbe ni bima ya afyaNaona OKW BOBAN SUNZU anataka kutuaminisha kilichopo shingoni kwa Kagere leo na kile cha jumamosi ni sawa.
Wazee wa Power bank bwana [emoji23][emoji23][emoji23]
😀😀😀 ila Kagere katoa kali ya mwaka Swahiba.Anataka kuhalalisha alichokutwa naacho tarehe 4 ni kitu cha kawaida kumbe ni bima ya afya
Sent using Jamii Forums mobile app
Mana'ha juzi kaonge ahadi machozi yanamlenga lenga. Anasema mhindi wa watu anajitahidi kuuza 'ukwaju' aliomuiga Mpemba ili 5imba walipwe mshahara kwa wakati, lkn uwanjani hawana commitment 😂😂😂Ubavu wa kushindana na sisi Uwanjani unao?
Au ndio unataka baada ya mechi mumfedheheshe Manara?
Baada ya Kagere kunyang'anywa 'chaji' akakosa tija, wakamtoa akaingie yule aliyepigaga ndege ya watu na mpira siku waliyocheza na Mazembe.Anataka kuhalalisha alichokutwa naacho tarehe 4 ni kitu cha kawaida kumbe ni bima ya afya
Sent using Jamii Forums mobile app
Na bado ataaibikaa sana kwa tabia yake ya kubeba power bank[emoji3][emoji3][emoji3] ila Kagere katoa kali ya mwaka Swahiba.
Waachage tu hii mapinduzi Cup ipite tusikutane nao mana vidonda vyao vinavyoanza kukauka tutavitonesha tena na wajue Mapinduzi hamna suluhu.Mana'ha juzi kaonge ahadi machozi yanamlenga lenga. Anasema mhindi wa watu anajitahidi kuuza 'ukwaju' aliomuiga Mpemba ili 5imba walipwe mshahara kwa wakati, lkn uwanjani hawana commitment 😂😂😂
Yule mamaetu hata akipewa mechi kule hatawabeba tena maana ada ya watoto kishapata kwenye dili ya kwanzaWaachage tu hii mapinduzi Cup ipite tusikutane nao mana vidonda vyao vinavyoanza kukauka tutavitonesha tena na wajue Mapinduzi hamna suluhu.
Naona OKW BOBAN SUNZU anataka kutuaminisha kilichopo shingoni kwa Kagere leo na kile cha jumamosi ni sawa.
Wazee wa Power bank bwana 😂😂😂
Na Yondani hajamkagua vizuri yule huenda naye alikuwa na ya kwake. 😂😂😂Baada ya Kagere kunyang'anywa 'chaji' akakosa tija, wakamtoa akaingie yule aliyepigaga ndege ya watu na mpira siku waliyocheza na Mazembe.
😅😅😅
Fanyeni hivyo basi Mtani tuone kilichomtoa Kanga manyoya. Teh
Haezi wabeba tena.Yule mamaetu hata akipewa mechi kule hatawabeba tena maana ada ya watoto kishapata kwenye dili ya kwanza
Kwa hiyo unatamani ukutane tena na Mnyama au sio?Hapo ndpo mikiya mnapoumiaga sana mioyo yani huwa Mnajipa matokeo kabla ya mechi
Mpira una matokeo matatu ndyo maana mkitoa droo au mkipigwa mnachanganyiikiwa nyumbu nyinyi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtani kwani we hutamani kukutana tena na Timu ya Wananchi? 😎Kwa hiyo unatamani ukutane tena na Mnyama au sio?
Heeee!! Mkuu kwani na Mapinduzi ni mmoja kati ya Marefa wanaochezesha?Jonesia Rukya ameelekea Zanzibar kupuliza kipenga na kugawa penati za muamala. Njaanuary hii. Hakuna namna. Hela ya Kanjibhai lazima iliwe.
Yani nawataka kivyovyote bado naumia sana kuona natoa draw na vyura.Mtani kwani we hutamani kukutana tena na Timu ya Wananchi? 😎
Unamjua Jimmy Kindoki?Jonesia Rukya ameelekea Zanzibar kupuliza kipenga na kugawa penati za muamala. Njaanuary hii. Hakuna namna. Hela ya Kanjibhai lazima iliwe.
Mhindi kawa mtu wa ku copy na ku paste biashara za Azam.Mana'ha juzi kaonge ahadi machozi yanamlenga lenga. Anasema mhindi wa watu anajitahidi kuuza 'ukwaju' aliomuiga Mpemba ili 5imba walipwe mshahara kwa wakati, lkn uwanjani hawana commitment 😂😂😂