Tunazungumza mwamuzi kusimamia sheria 17 za soka kwa last man, na sio suala macho.hahhahaha.....inamaana watanzania wote hawana macho.
Mo anakuwa presented as the most innovative person around. Kumbe mnajua kwamba hakuna kitu kipya Duniani?Huu uzi unahusu club ya Simba dhidi ya vyura we mbute vipi.
Sema Simba inaiga nini kutoka Azam fc kupitia Mo?
.
Sasa sisi wana Simba ukituambia Mo anaiga kutengeneza mingano au vinywaji sisi inatuhusu nini kwani bakhresa ndiye wa kwanza kuunda hivyo vitu mbute mnaumwaga nini lakini
Si ana thubutu, wenu kashawapa magodoro?Mo anakuwa presented as the most innovative person around. Kumbe mnajua kwamba hakuna kitu kipya Duniani?
Kama mnataka tena droo njooni na yule mama ambaye ana uthubutu wa kusimamisha mpira wakati Yanga wanashambulia eti kisa Kagere anawashwa na bega. Na power bank ya Kagere muichajiTunawaomba Mtibwa wasikubali kutumika kukomaa hii vita siyo yao. Hii wawaachie wenyewe US vs IRAN, lazima mtu afundishwe adabu maana draw anashangilia kuona ni ushindi!
Tunamsema bosi wenu Muuza Ukwaju. Kaiga ukwaju, energy drink, bakers flour. Hata wachezaji mnategemea wa Mpemba. Wawa, Nyoso, Manula pazia, Bocco muangua nazi.Azam fc tumkopi kufeli kwake au tumemkopi nini?
Sasa kuna striker gani churani wa kumzidi John Rafael Bocco?Tunamsema bosi wenu Muuza Ukwaju. Kaiga ukwaju, energy drink, bakers flour. Hata wachezaji mnategemea wa Mpemba. Wawa, Nyoso, Manula pazia, Bocco muangua nazi.
Umeonaee. Hawamtakii mema Manara wa watu.wanataka akose cha kusema jaman.
🤣🤣🤣🤣[emoji23] na hunipati kamwe mpaka tukutane Zanzibar
Ukwaju? Mo kaiga ukwaju bwana, ubishi wa nini? Ngoja uone Mpemba akianzisha Madafu na Miwa utaona na yeye kaigaSasa kuna striker gani churani wa kumzidi John Rafael Bocco?
Kuna defender gani mbuteni wa kumzidi Pascal Wawa?
Kuna defender gani ndala wa kumzidi Erasto Nyoni? MANULA SAWA LILE NI SHATI
.
Bakhresa ni mtu wa kwanza duniani kuunda energy drinks, kuoka madubwasha yake au kuuza ukwaju?
Alafu hizi ni personal business za Mo sisi wana Simba hazituhusu, jengeni uwanja huko mtakaa Kaunda hadi lini
Hayatuhusu mimi unanihusu wewe nakutaka mapinduzi nikushone safari hii sikuachiUkwaju? Mo kaiga ukwaju bwana, ubishi wa nini? Ngoja uone Mpemba akianzisha Madafu na Miwa utaona na yeye kaiga
Katupa Energy DrinkSi ana thubutu, wenu kashawapa magodoro?
Uwanja anajenga lini?Katupa Energy Drink
Simba uhakika lazma atinge,nyie mbute mbute fc ndo mnashida kdg
Kaunda ilikuwepo enzi hizo Mo hajazaliwaUwanja anajenga lini?
Wameshatukimbia mkuu, wamechapwa na mtibwaNaomba kila mtu ashinde mechi zake,tatizo watawaachia mtibwa ili watukwepe
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kila mtu ashinde mechi zake,tatizo watawaachia mtibwa ili watukwepe
Sent using Jamii Forums mobile app
Na sisi tunauza mechi kwa azam ili tukutane mshindi wa 3