Ile ndiyo first eleven? You are not serious.LINGEKUWA BONANZA MNGECHEZESHA FIRST 11 YENU?
.
HIVI CHURANI NANI AKIJA UNYAMANI ATAPATA NAFASI YA KUINGIA FIRST 11 MAANA ALIKUJA NIYONZIMA AKAWA WA BENCHI, AJIB NI BENCHI ππ
mtibwa hoyeee
Hadi kocha mpya tunamlipa kwa bakuli. Sisi ndiyo wananchi.
πππIle ndiyo first eleven? You are not serious.
muss huu wajanja wameisha zima booster ya Kagere.. Atakuwa anarukaruka kama kibaka.
Kumbe hufuatilii mpira. Yule kahojiwa ni Mikia damu damuπππ
Mtaniii sisi hatunaga pigo za kichawi kama zenu yule mganga wenu mumlete tena 2nd round tuwaonyeshe
Mpirs unachezwa uwanjani.Kumbe hufuatilii mpira. Yule kahojiwa ni Mikia damu damu
LINGEKUWA BONANZA MNGECHEZESHA FIRST 11 YENU?
.
HIVI CHURANI NANI AKIJA UNYAMANI ATAPATA NAFASI YA KUINGIA FIRST 11 MAANA ALIKUJA NIYONZIMA AKAWA WA BENCHI, AJIB NI BENCHI
LINGEKUWA BONANZA MNGECHEZESHA FIRST 11 YENU?
.
HIVI CHURANI NANI AKIJA UNYAMANI ATAPATA NAFASI YA KUINGIA FIRST 11 MAANA ALIKUJA NIYONZIMA AKAWA WA BENCHI, AJIB NI BENCHI
[emoji1] [emoji2] [emoji2]
Yanga iko kimbia Simba kombe pinduzii...!!!! Akimbia kichapoooKazeni sasa tukutane fainali
[emoji99][emoji99][emoji99][emoji99]Naomba kila mtu ashinde mechi zake,tatizo watawaachia mtibwa ili watukwepe
Sent using Jamii Forums mobile app
Timu kubwa inayotolewa jasho na timu ya midizini? Goli moja dakika 90 mmeshindwa kurudisha? Aliyewaologa amefariki mtaendelea kuwa mambumbumbu mileleYanga bado tunasherehekea drooooo ya timu kubwa ya 16 Africa,mtuacheeee
YethuuuuujWewe unayejitambua mbona umeshindwa kumtaja striker aliyeko mbuteni anayemzidi Bocco kwa chochote yani ndani ya uwanja na nje?
.
Mtaje na defender wa mbuteni anayemzidi Pascal Wawa ndanina nje ya uwanja nani huyo
Alafu umtaje na defender anayemzidi Nyoni ndani na nje ya kiwanja aliyeko mbuteni la sivyo wewe ndiye hujitambui tena zuzu kabisa
.
Note; navyoandika ndani ya kiwanja namaanisasha kiwango kikubwa cha uchezaji kwenye nafasi yake.
Na nje ya kiwanja namaanisha fedha kiwango cha mshahara anacholipwa na mengineyo.
.
Miraji Athuman mshahara wake tu tunalipa midfielders wa mbute wote chura churani weweππ
Siku nyingine mjifunze kutolitaja bure jina la Mungu. Hutajwa kulipa utukufu na kuomba baraka ndugu zangu na si vinginevyo.View attachment 1315872
Sio muda kidomodomo cha kutoa sare na timu kubwa Simba Sc kitakwisha. Eeeh Mungu nisaidie ombi langu.
View attachment 1315875
Striker katili MK 14 akiwa na "hirizi " yake shingoni akielekea Zanzibar na wenzake leo mchana
Haya maneno mwambieni Kagera SugarSiku nyingine mjifunze kutolitaja bure jina la Mungu. Hutajwa kulipa utukufu na kuomba baraka ndugu zangu na si vinginevyo.
Sawa bwana midizi ni midizi haijalishi ni ya mkoa ganiTimu kubwa inayotolewa jasho na timu ya midizini? Goli moja dakika 90 mmeshindwa kurudisha? Aliyewaologa amefariki mtaendelea kuwa mambumbumbu milele
-