Mungu nikutanishe na Yanga SC huko Mapinduzi Cup

Mungu nikutanishe na Yanga SC huko Mapinduzi Cup

LINGEKUWA BONANZA MNGECHEZESHA FIRST 11 YENU?
.
HIVI CHURANI NANI AKIJA UNYAMANI ATAPATA NAFASI YA KUINGIA FIRST 11 MAANA ALIKUJA NIYONZIMA AKAWA WA BENCHI, AJIB NI BENCHI 😝😝
mtibwa hoyeee
Ile ndiyo first eleven? You are not serious.
muss huu wajanja wameisha zima booster ya Kagere.. Atakuwa anarukaruka kama kibaka.
 
Ile ndiyo first eleven? You are not serious.
muss huu wajanja wameisha zima booster ya Kagere.. Atakuwa anarukaruka kama kibaka.
😝😝😝
Mtaniii sisi hatunaga pigo za kichawi kama zenu yule mganga wenu mumlete tena 2nd round tuwaonyeshe
 
Kumbe hufuatilii mpira. Yule kahojiwa ni Mikia damu damu
Mpirs unachezwa uwanjani.
Huyo aliyezungumza ni nani Simba kati ya hizi ngazi
1. Mwenyekiti
2. Mjumbe
3. Mwanachama

Kama hayuko kwenye hayo makundi matatu basi ni takataka tu
 
Yanga bado tunasherehekea drooooo ya timu kubwa ya 16 Africa,mtuacheeee
 
Wewe unayejitambua mbona umeshindwa kumtaja striker aliyeko mbuteni anayemzidi Bocco kwa chochote yani ndani ya uwanja na nje?
.
Mtaje na defender wa mbuteni anayemzidi Pascal Wawa ndanina nje ya uwanja nani huyo
Alafu umtaje na defender anayemzidi Nyoni ndani na nje ya kiwanja aliyeko mbuteni la sivyo wewe ndiye hujitambui tena zuzu kabisa
.
Note; navyoandika ndani ya kiwanja namaanisasha kiwango kikubwa cha uchezaji kwenye nafasi yake.
Na nje ya kiwanja namaanisha fedha kiwango cha mshahara anacholipwa na mengineyo.
.
Miraji Athuman mshahara wake tu tunalipa midfielders wa mbute wote chura churani wewe😝😝
Yethuuuuuj
 
Timu kubwa inayotolewa jasho na timu ya midizini? Goli moja dakika 90 mmeshindwa kurudisha? Aliyewaologa amefariki mtaendelea kuwa mambumbumbu milele

-
Sawa bwana midizi ni midizi haijalishi ni ya mkoa gani
Ila midizi ya kagera noma Yani katerero nje nje tena umekojoleshwa tatu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom