Bundakwetu
JF-Expert Member
- Nov 18, 2022
- 551
- 1,014
Hakika Mungu akufanyie wepesi utimize lengo lako
Hakika Mungu akufanyie wepesi utimize lengo lako
Amekusikia.Mwaka ujao panapo majaaliwa yake Mungu (wa mbinguni) namuomba anisaidie uzima na afya njema niweze kufanya kazi kwa bidii ili ninunue bajaji naipenda sana hiyo kazi na kwa sasa ni moja ya ndoto yangu kumiliki bajaji yangu eee mwenyezi Mungu nisaidie.
AsanteKila la kheri muraaa!!
Hapana mkuuAshura asije kkuteka!
Hapana mkuu nitafanya kazi iliyotukukaDua zangu zote ili ufanikiwe, ila usiwe kama Bajaji za huku Temeke huwa zinakuwa Bize nyakati za jioni, kupakia "Mizigo" ya watu inaenda kuliwa Guest Bubu za Tandika huku ikiwa ndani ya Baibui.
Vijana wanakosa nidhamu!Dua zangu zote ili ufanikiwe, ila usiwe kama Bajaji za huku Temeke huwa zinakuwa Bize nyakati za jioni, kupakia "Mizigo" ya watu inaenda kuliwa Guest Bubu za Tandika huku ikiwa ndani ya Baibui.
Wenye uaminifu hatupati sijui kwa nini yaniVijana wanakosa nidhamu!
Mmoja nilimpa chuma hela haleti siku hiyo nikamfanyia ambush nikamnyang'anya kuifanyia ukaguzi nikakutana na box za condom mpumbavu Bajaj amegeuza chombo cha kubebea wanawake zake.
Shukrani mkuuMleta mada Mungu akusimamie ufikie lengo lako,nawajua watu vyeti wameweka kabatini wanaendesha Bajaj wanalisha familia na wanaenda kusimamia ujenzi wa nyumba zao kila weekend.
NB;ukifikia hatua hiyo nunua TVS hii ndo uhakika kama mtunzaji approximately miaka kumi upo nayo barabarani.
Mungu akuwezeshe kufikia maono yako.Mwaka ujao panapo majaaliwa yake Mungu (wa mbinguni) namuomba anisaidie uzima na afya njema niweze kufanya kazi kwa bidii ili ninunue bajaji.
Naipenda sana hiyo kazi na kwa sasa ni moja ya ndoto yangu kumiliki bajaji yangu, eee Mwenyezi Mungu nisaidie.
Kwa nini umesema TVS na sio kampuni zingine mkuu?Mleta mada Mungu akusimamie ufikie lengo lako,nawajua watu vyeti wameweka kabatini wanaendesha Bajaj wanalisha familia na wanaenda kusimamia ujenzi wa nyumba zao kila weekend.
NB;ukifikia hatua hiyo nunua TVS hii ndo uhakika kama mtunzaji approximately miaka kumi upo nayo barabarani.