Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Kwamba mchungaji/Askofu akikemea uovu wa wanasiasa anakuwa amejiondoa kwenye orodha ya watumishi wa Mungu? Kumbe Askofu alifanya hivyo anafutwa kiroho na Mkuu wa mkoa?
Yohana Mbatizaji alimkemea Herode sababu ya mauaji ya mdogo wake ili kumpata mkewe. Matokeo yake akahukumiwa kifo cha kukatwa kifo.
Lakini Mungu hadhihakiwi, atashughulika na wehu wote wanaompangia cha kufanya.