Mungu, shughulika na huyu mwehu.

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
22,168
Reaction score
39,118
Kwamba mchungaji/Askofu akikemea uovu wa wanasiasa anakuwa amejiondoa kwenye orodha ya watumishi wa Mungu? Kumbe Askofu alifanya hivyo anafutwa kiroho na Mkuu wa mkoa?
Yohana Mbatizaji alimkemea Herode sababu ya mauaji ya mdogo wake ili kumpata mkewe. Matokeo yake akahukumiwa kifo cha kukatwa kifo.
Lakini Mungu hadhihakiwi, atashughulika na wehu wote wanaompangia cha kufanya.
 
 

Attachments

  • Screenshot_2024-09-21-14-25-02-571_com.twitter.android.jpg
    271.2 KB · Views: 5
Dini na imani za ki Mungu kila siku tunawaambia ni upumbavu na utapeli ,sema wenzetu mnatamaa za kijinga hata mkifa mnataka kwenda peponi , acha mpigwe tu.🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Ukiona wanaanz kukejeli viongozi wa dini ujue mwisho wao unakaribia
 
Watumishi hawahawa wanaomiliki Range, waumini hawana hata bagadu πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†..

Alishindwa kumshughulikia shetani ambae ndo chanzo, Ndo amshughulikie huyu..

Halafu sio nyinyi mnaosema anasamehe, Kwanini leo mnamuomba tena atoe adhabu..

Dini ni upumbavu mkubwaa , Yani waumini wenyewe hawamini kilichoandikwa...
 
alikuwa anamfuta rafiki yake mwamaposa, kwasababu ni mwanasiasa na tapeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…