Mimi nataka nikujue tu wewe jannelleHi guys,how is Sunday....
Anyway kumekuwa na huu msemo maarufu Sana way back "Mungu si Athuman"
Nini maana yake halisi kuhusisha u Mungu na U Athuman...
Je inamaana yoyote au ilikuwa Ni msemo tu Kama misemo mingine iliyoweza kuwa maarufu toka enzi hizo.
Easy Sunday to you champions [emoji3531]
Nafurahi kufahamiana na wewe mremboUsijali tumejuana hapa [emoji1751]
Kenge[emoji23]Mimi nataka kujua nini kilichomtoa kenge manyoya
Kha u mean baba J?? Ah sawaAthumani alikuwa kama jiwe,yaani ana roho mbaya alikuwa ataki wenzake wafanikiwe.
Alikuwa anataka aonekane yeye tu sehemu zote,alikuwa anataka asifiwe yeye tu na alikuwa hataki akosolewe.
Lakini mwishoe athumani alifilisika na mbwembwe zote zikaisha.
Na wale raia wakaanza kuishi kwa amani kama zamani.ndio hapo ukaja huo msemo kuwa Mungu sio Athumani.
Jiwe itabidi ajitafakari asiwe kama Athumani.
Hiyo tuseme kama lugha ya picha.Hi guys,how is Sunday....