Mungu si Athuman

Mungu si Athuman

jannelle

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2020
Posts
824
Reaction score
1,581
Hi guys,how is Sunday....

Anyway kumekuwa na huu msemo maarufu Sana way back "Mungu si Athuman"
Nini maana yake halisi kuhusisha u Mungu na U Athuman...

Je inamaana yoyote au ilikuwa Ni msemo tu Kama misemo mingine iliyoweza kuwa maarufu toka enzi hizo.

Easy Sunday to you champions [emoji3531]
 
Asiyesikia la mkuu....huvunjika guu. Mi nataka kumfahamu huyo Mkuu.
 
Mimi mwenyewe nataka kujua nini maana ya "hasara roho"
 
Hi guys,how is Sunday....

Anyway kumekuwa na huu msemo maarufu Sana way back "Mungu si Athuman"
Nini maana yake halisi kuhusisha u Mungu na U Athuman...

Je inamaana yoyote au ilikuwa Ni msemo tu Kama misemo mingine iliyoweza kuwa maarufu toka enzi hizo.

Easy Sunday to you champions [emoji3531]
Mimi nataka nikujue tu wewe jannelle
 
Kujua juu ya kujua..wanakuja wenye utaalamu wa misemo
 
Athumani alikuwa kama jiwe,yaani ana roho mbaya alikuwa ataki wenzake wafanikiwe.
Alikuwa anataka aonekane yeye tu sehemu zote,alikuwa anataka asifiwe yeye tu na alikuwa hataki akosolewe.
Lakini mwishoe athumani alifilisika na mbwembwe zote zikaisha.
Na wale raia wakaanza kuishi kwa amani kama zamani.ndio hapo ukaja huo msemo kuwa Mungu sio Athumani.
Jiwe itabidi ajitafakari asiwe kama Athumani.
 
Kha u mean baba J?? Ah sawa
 
Hi guys,how is Sunday....

Anyway kumekuwa na huu msemo maarufu Sana way back "Mungu si Athuman"
Nini maana yake halisi kuhusisha u Mungu na U Athuman...

Je inamaana yoyote au ilikuwa Ni msemo tu Kama misemo mingine iliyoweza kuwa maarufu toka enzi hizo.

Easy Sunday to you champions [emoji3531]
Hiyo tuseme kama lugha ya picha.

Athumani hapo imetumika badala ya mtu.

Hivyo badala ya kusema Mungu si mtu, tunasema Mungu si Athumani.
 
Back
Top Bottom