Mungu si Athuman

Mungu si Athuman

[SUB]......Kwa haya maswali ya methali na nahau, nidhahiri Wengi mlienda shule kwasababu mna nguo mpya na mmemis kupewa pocket money. Wengi shule imewaacha Kama ukuu wa mkoa dar.[/SUB]

[SUB]"Nawasilisha wagaa gaa na upya"[/SUB]
 
Kwa sababu Athuman ana roho mbaya sana na chuki za kutisha dhidi ya binadamu wenzie. Athuman hata kama kakuzidi kiwango cha maisha akisikia umepata kidogo ananuna na kufura kupita kiasi 😜😜😜

Hi guys,how is Sunday....

Anyway kumekuwa na huu msemo maarufu Sana way back "Mungu si Athuman"
Nini maana yake halisi kuhusisha u Mungu na U Athuman...

Je inamaana yoyote au ilikuwa Ni msemo tu Kama misemo mingine iliyoweza kuwa maarufu toka enzi hizo.

Easy Sunday to you champions [emoji3531]
 
Back
Top Bottom