Mungu siku zote yupo kimya na haongei, nyie mnampigia kelele

Weka na ushahidi wa haya unayosema. Umeyajuaje haya? Umepata kuwa naye?
Nilichekaga sana kuna Athist mmoja alikua anaojiwa.
Akakili hata yeye akipatwa na Hatar ghafla hushituka na kusema 'Mungu wanguu'

Sasa ndo kama mleta uzi, muda mambo yakimfika shingon, atatafuta tu msaada.
 
Hii ni akili mgando
 
Nani kakuambia Siamini Mungu?
 
Nilichekaga sana kuna Athist mmoja alikua anaojiwa.
Akakili hata yeye akipatwa na Hatar ghafla hushituka na kusema 'Mungu wanguu'

Sasa ndo kama mleta uzi, muda mambo yakimfika shingon, atatafuta tu msaada.
Kwani kasema Mungu hayupo au kataja tu sifa za anaeamini ndiye Mungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…