*Mungu tumuache aitwe Mungu. Jana Dawasco wakajimwambafai wee. Mara ooh kuanzia kesho jiji la Dar es salaam litakumbwa na uhaba wa Maji. Mara mtunze akiba ya maji mliyo nayo majumbani mwenu vizuri.Kiko wapi sasa yaani Mwenyezi Mungu kawasikiliza weee akaleta sasa maji kwa njia ya Mvua kiasi kwamba Hata hao dawasco pa kupita kwenda kukata hayo maji yenyewe wameshindwa*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322]