Mungu vimulike Vyombo vya Usalama wa Taifa Teule la Tanzania

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Mungu ulioko Mbinguni sisi tulio watoto tunalilia Taifa la Tanzania. Mungu vivuvie nguvu uwezo wakijasusi na akili za ajabu Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama wa Taifa hili Mungu wangu naijulikane upo.

Mungu wataifa la Tanzania Mungu naijulikane upo, njaa ya watu wachache isiliuze Taifa la Tanzania njaa ya watu wachache isiwauze watoto wa watoto wetu.

Mungu tunataka Dunia ijue hili ni Taifa lako Mungu na hakuna mtu atapitisha mambo yatalifanya Taifa hili kurudi utumwani.

Tuna vijana wazalendo wenye uchungu na Taifa hili usiwasahau na kuwalinda katika idara zao za usalama.

We protect our Might Arm of United Republic of Tanzania. Mungu jeshi letu lifunike kwa ukuu na uwezo wa ajabu. Mungu our intelligence unity every were in this world protect them.

Amen.
 
Good ✔️ ikiwezekana yafanyike maombi na dua kali Nchi nzima!!
 
Vyombo hivyo ni mali ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania her Eminence, Exellency Dr. Samia Suhuhu Hasan. Vinawaza kwa kadiri ya mawazo ya Rais Mungu avinusuri na nini? Wakati watu wanadai katiba mpya nyie mlikua mnagombea maharagwe na michele huko Lumumba shwaini!
 
Mungu ibariki Tanzania ....
Mungu ibariki Africa
 
Acheni kumchosha mungu kuna watu sudani wanakufa,somalia na Nigeria jimbo la bono.Nyie kwa starehe zenu mmeamua kuuza bandari
 
Amen.
 
It was June just to remind you my fellow Tz.
 
Ila kwenye dini watanzania huwa mnanifurahisha, yaani ni kama vile mnaishi kwenye bubble na Mungu ni wa Tanzania kwa ajili ya watanzania.

Serikali nyingi duniani ni za shetani, na hao waliokaa madaraka wamefika hapo kwa kufanya uovu wa kutisha, wamemwaga damu za wengine na kufanya ukatili wa kila aina, matambiko na ibada za kichawi.

Ndio maana shetani alikuwa na jeuri ya kumwambia Yesu kuwa "ukiniabudu nitakupa falme zote za duniani na fahari zake", anayo mamlaka jui ya falme hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…