Mungu wa kwenye wimbo wa taifa ni Allah au God?

God - English
Mungu - Swahili


Sasa kuhusu Mungu yupi/which God ndo Tujadili.

Kwa upande wangu ni Mungu Baba Mwana Na Roho Mtakatifu.
 
Ni Mungu wa mabaabu zetu!
Mungu wa matambiko.
 
Mungu anayeongelewa ni yule aliyeumba ulimwengu na vitu vyote vilivyomo tukiwemo sisi.
Kuhusu jina lake,utajua MWENYEWE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…