Mungu wa Mbinguni mrehemu Hayati Magufuli, Saba Saba magari yanateleza tu. Kilwa road haina foleni Flyover mkombozi!

Kila ninapoikuta flyover nasema moyoni Mungu wa mbinguni amrehemu sana Shujaa Magufuli

Kazi zake tangu akiwa Waziri wa Ujenzi hadi Rais wa JMT zitadumu mioyoni mwa Vizazi vya Watanzania

Mlale Unono!
Bwashee, hizo ni matokeo ya kodi na madeni ya Watanzania. Jamaa alikuwa ni mwajiriwa tu, na aliyoyafanya yalikuwa ni kipaumbele cha taifa letu kwa wakati huo.
 
Wacha ujinga. Kodi zikipata kilaza zinatumika vibaya ila zikimpata MTU kama Magufuli zilitumika vizuri hata vipofu waliona.

Sasa hivi mitozo kila maali na hakuna kinachoonekana.

Sasa tunajiuliza kama magufuli Angeweka mitozo nchi siingekua kama Ulaya?

Kila ninapoikuta flyover nasema moyoni Mungu wa mbinguni amrehemu sana Shujaa Magufuli.

Kazi zake tangu akiwa Waziri wa Ujenzi hadi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zitadumu mioyoni mwa Vizazi vya Watanzania.

Mlale Unono!
Ngoja nyumbu waje
 
Alikuwa akipambana tu na hali yake, sasa hayupo tena nasi. Utawala wake imebakia kuwa ni historia lakini tutamkubuka kwa upendeleo wake wa kikanda, na kwa "home town" yake ya Chato, na deni kubwa la taifa ambalo serikali aliyoiongoza ilituachia.
 
Kila ninapoikuta flyover nasema moyoni Mungu wa mbinguni amrehemu sana Shujaa Magufuli.

Kazi zake tangu akiwa Waziri wa Ujenzi hadi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zitadumu mioyoni mwa Vizazi vya Watanzania.

Mlale Unono!
Tumshukuru pia kwa madeni aliyotuachia
 
Kila ninapoikuta flyover nasema moyoni Mungu wa mbinguni amrehemu sana Shujaa Magufuli.

Kazi zake tangu akiwa Waziri wa Ujenzi hadi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zitadumu mioyoni mwa Vizazi vya Watanzania.

Mlale Unono!
Muumba mbingu na ardhi mlaani magu nakichaa mpina waunguze namtowako wamilele walituibia wavuvi
 
Bwashee, hizo ni matokeo ya kodi na madeni ya Watanzania. Jamaa alikuwa ni mwajiriwa tu, na aliyoyafanya yalikuwa ni kipaumbele cha taifa letu kwa wakati huo.
Sasahivi Taifa lina kipaumbele gani?
 
Mfumo wetu unamfanya kila anaefanya kitu aonekane alifanya kama mali ya baba yake

Badilisheni mfumo wa masifa kwa mtu mmoja mmoja ili mtu akifanya ni sheria
 
Bwashee, hizo ni matokeo ya kodi na madeni ya Watanzania. Jamaa alikuwa ni mwajiriwa tu, na aliyoyafanya yalikuwa ni kipaumbele cha taifa letu kwa wakati huo.
Hawa waajiriwa wanaomega ARDHI YA TANGANYIKA nao tuwanene je?
 
Ni Kikwete ndiye wa kupewa shukurani sio huyo kilaza.
 
Back
Top Bottom