johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Amina 😄😄😄 Apewe maua yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amina 😄😄😄 Apewe maua yake
Mboe alikimbilia kwao Dubai aliporudi tu akatiwa mbaroni na Kingai kwa ugaidi🤣🤣Alikuwa akipambana tu na hali yake, sasa hayupo tena nasi. Utawala wake imebakia kuwa ni historia lakini tutamkubuka kwa upendeleo wake wa kikanda, na kwa "home town" yake ya Chato, na deni kubwa la taifa ambalo serikali aliyoiongoza ilituachia.
Eehh sawa, Na anayofanya wa Sasa nacho ni kipaumbele Cha TaifaBwashee, hizo ni matokeo ya kodi na madeni ya Watanzania. Jamaa alikuwa ni mwajiriwa tu, na aliyoyafanya yalikuwa ni kipaumbele cha taifa letu kwa wakati huo.
Usipimbazwe wewe magufuli alikua mwizi mkali kama hujuiWacha ujinga. Kodi zikipata kilaza zinatumika vibaya ila zikimpata MTU kama Magufuli zilitumika vizuri hata vipofu waliona.
Sasa hivi mitozo kila maali na hakuna kinachoonekana.
Sasa tunajiuliza kama magufuli Angeweka mitozo nchi siingekua kama Ulaya?
kwani hayo madarasa si wanasoma watanzania? hivi nyie wajinga mtaelimika lini? kwenu madaraja ni bora kuliko elimu ya watoto wenu? saivi kila mkoa inajengwa shule maalum ya sayansi kwa wasichana. lakini tarula tunaona saiv wanavyopambana na barabara za vijijini na mambo mengi tu yanafanywa sema mmekariri madaraja madaraja.Kuna maeneo alikuwa na madhaifu yake kama Mwanadamu lakini kwenye Ujenzi wa miradi amejitahidi sana
Saivi ukiambiwa uoneshe hata mradi mmoja pamoja na kukopa na kupigwa tozo za Dr Mwigulu lakini huoni sana sana utaoneshwa miradi ya madarasa na Vyoo 🙌
Kasi ya Ujenzi wa hiyo miradi iendane na fedha tunazokopa kila siku pamoja na hizi Tozo tunazopandishiwa kila leo.kwani hayo madarasa si wanasoma watanzania? hivi nyie wajinga mtaelimika lini? kwenu madaraja ni bora kuliko elimu ya watoto wenu? saivi kila mkoa inajengwa shule maalum ya sayansi kwa wasichana. lakini tarula tunaona saiv wanavyopambana na barabara za vijijini na mambo mengi tu yanafanywa sema mmekariri madaraja madaraja.