johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Bwashee, hizo ni matokeo ya kodi na madeni ya Watanzania. Jamaa alikuwa ni mwajiriwa tu, na aliyoyafanya yalikuwa ni kipaumbele cha taifa letu kwa wakati huo.Kila ninapoikuta flyover nasema moyoni Mungu wa mbinguni amrehemu sana Shujaa Magufuli
Kazi zake tangu akiwa Waziri wa Ujenzi hadi Rais wa JMT zitadumu mioyoni mwa Vizazi vya Watanzania
Mlale Unono!
Ulale Unono!Bwashee, hizo ni matokeo ya kodi na madeni ya Watanzania. Jamaa alikuwa ni mwajiriwa tu, na aliyoyafanya yalikuwa ni kipaumbele cha taifa letu kwa wakati huo.
Bwashee, hizo ni matokeo ya kodi na madeni ya Watanzania. Jamaa alikuwa ni mwajiriwa tu, na aliyoyafanya yalikuwa ni kipaumbele cha taifa letu kwa wakati huo.
Ngoja nyumbu wajeKila ninapoikuta flyover nasema moyoni Mungu wa mbinguni amrehemu sana Shujaa Magufuli.
Kazi zake tangu akiwa Waziri wa Ujenzi hadi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zitadumu mioyoni mwa Vizazi vya Watanzania.
Mlale Unono!
Alikuwa akipambana tu na hali yake, sasa hayupo tena nasi. Utawala wake imebakia kuwa ni historia lakini tutamkubuka kwa upendeleo wake wa kikanda, na kwa "home town" yake ya Chato, na deni kubwa la taifa ambalo serikali aliyoiongoza ilituachia.Wacha ujinga. Kodi zikipata kilaza zinatumika vibaya ila zikimpata MTU kama Magufuli zilitumika vizuri hata vipofu waliona.
Sasa hivi mitozo kila maali na hakuna kinachoonekana.
Sasa tunajiuliza kama magufuli Angeweka mitozo nchi siingekua kama Ulaya?
Tumshukuru pia kwa madeni aliyotuachiaKila ninapoikuta flyover nasema moyoni Mungu wa mbinguni amrehemu sana Shujaa Magufuli.
Kazi zake tangu akiwa Waziri wa Ujenzi hadi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zitadumu mioyoni mwa Vizazi vya Watanzania.
Mlale Unono!
Muumba mbingu na ardhi mlaani magu nakichaa mpina waunguze namtowako wamilele walituibia wavuviKila ninapoikuta flyover nasema moyoni Mungu wa mbinguni amrehemu sana Shujaa Magufuli.
Kazi zake tangu akiwa Waziri wa Ujenzi hadi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zitadumu mioyoni mwa Vizazi vya Watanzania.
Mlale Unono!
Sasahivi Taifa lina kipaumbele gani?Bwashee, hizo ni matokeo ya kodi na madeni ya Watanzania. Jamaa alikuwa ni mwajiriwa tu, na aliyoyafanya yalikuwa ni kipaumbele cha taifa letu kwa wakati huo.
Hili swali la msingi sana..nini ki paumbele chetu km taifa kwa sasa?labda kuuza vilivyopo na kukamilisha kazi za Marehemu.Sasahivi Taifa lina kipaumbele gani?
Hawa waajiriwa wanaomega ARDHI YA TANGANYIKA nao tuwanene je?Bwashee, hizo ni matokeo ya kodi na madeni ya Watanzania. Jamaa alikuwa ni mwajiriwa tu, na aliyoyafanya yalikuwa ni kipaumbele cha taifa letu kwa wakati huo.
Ulale Unono!Ni pesa zetu wenyewe Tena hizo ni kidogo kati ya nyingi alizochezea kuwanunua Kuna waitara na kina gekul